Shibuda asisitiza yeye ni Rais 2015

Kwa nini hayuko kwenye safari ya kujenga chama kusini kama kweli anataja kugombea nafasi kupitia chama hicho??. Tujiulize..Amekifanyia nini chama??. Huyu mzee nina uhakika hata jimboni kwake hajafungua tawi lolote..this only disqualifies him..!
 
Jamani mnao msakama Shibuda nawauliza tena kwani ni dhambi mtu kuota ndoto katika nchi hii? Mwacheni Shibuda aote ndoto yake kwa raha zake akiamka atajua kuwa kumbe ni ndoto tuu, ruksa Shibuda kuota ndoto.
 
Huenda Maswa itajitenga na kuwa taifa huru kama Sudan Kusini then wamchague kuwa rais wa huko. Hizi ni tamaa za madaraka dhahiri shairi.
 
Back
Top Bottom