Shibuda asisitiza yeye ni Rais 2015

jamani si shangai la shibunda kule usukumani kuna sera ya kuwa rahisi wa wachawi may be shibuda hajamuelewa pengine anahitajika Ngamboshi ili awe rais wa kuzimu msimshangae sana hili lawezekana wasukuma Noma Ngamboshi inatisha kuna mji hata tanzania haupo, full starehe, barabara juu na chini, hakuna kulima nikuvuna tu maisha mstarehe kabisa. nakutakia mafanikio Shibuda!
 
Sijui kwanini kamati kuu ya chadema wanamwangalia tu,huyu jamaa mi nadhani anatumiwa na ccm ili ajitangaze na watu wamwekee imani na ikifika 2014 aihame chadema ili ivurugike,wasimpomfukuza sasa watakuja kujutia baadaye,a guy is getting popularity wao wanamwangalia tu

Kwani ni kosa mwanachama wa chama chochote kueleza hadharani nia yake ya kugombea Uraisi? Ni vizuri mimi na wewe tukaangaikia zaidi maisha ya familia zetu na kuachana na si-ha-sa kwa sababu kila kauli inayotolewa ina sababu tofauti na mimi na wewe tunavyofikiri
 
CDM wameshasema wana mengi ya msingi kuyafanya na si kumfikikilia shibuda acha abwabwanye mchana night atalala
 
Mwacheni Shibuda. He has the right to be wrong(kanuni ya asili ya mwanadamu) Are we competing for Jesus medal in politics????????????????
 
Nakumbuka alisema chadema haiwezi kuchukua nchi. Anyway kwangu mimi Shibuda ni comedian.
 
Kutanganza Nia inakubalika. Kutangaza nia haimaanishi ndio kawa Rais. mpaka kupata hiyo nafasi ya kupeperusha bendera ya chadema kupambana na CCM kwa kiti cha urais sio kazi rahisi kivile
 
Sasa Kama anataka Uraisi kwani lazima atangaze.Chama au Vyama si kuna system ya kuchagua candidates na naomba atutake radhi kwani yeye kusema ni rais wa 2015 nani amempigia kura.Jamani ebu mcheck akili ya huyu bwana inaelekea si mzima kutokana na kauli zake zisizo na mbele wala nyma wala hazifuati sheria.
Mm CHADEMA kabla hamjapokea watu kutoka vyama vingine muwe na muda wa kuwascreen
 
Siku hizi maraisi wako wengi,kuna raisi wa chama cha ndondi,bajaji labda anataka uraisi wa chama cha mipasho.
 
Kwani ni kosa mwanachama wa chama chochote kueleza hadharani nia yake ya kugombea Uraisi? Ni vizuri mimi na wewe tukaangaikia zaidi maisha ya familia zetu na kuachana na si-ha-sa kwa sababu kila kauli inayotolewa ina sababu tofauti na mimi na wewe tunavyofikiri

kuna utaratibu wa chama siyo kujitangaza tu
 
Jamani mbona mna hamanika sana na huyu Shibuda, hata akisema kuwa anataka kuwa katibu mkuu wa UN mwacheni aseme tu hajavunja sheria yoyote, kwani kusema mbali na kutenda mbali.Kwani akisema anataka kuwa rais si mpaka apitishwe kwenue chama chake then apigiwe kura na watanzania akipita kote huko nakupata kura za kutosha basi atakuwa rais kweli vinginevyo mwacheni afurahia ndoto yake. Go Shibuda go!!!!!!!!!!!!!
 
Mhe. John Maghale Shibuda Mbunge wa Maswa kwa Tiketi ya chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amesikika mara kadhaa akijinadi yeye ni Rais ajae wa Tanzania kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema...

Hii ni ndoto nzuri sana, naamini akiamka atajua kuwa alikuwa anaota...
 
naona hamjamuelewa... anataka kuwa Rais wa mashalobalo
 
SHIBUDA ni kama origina comedy,ni mchekeshaji mzuri,hapo alitaka watu wacheke.maana kwake kusema atakuwa raisi ni sawa na KATEKISTA kuota kuwa atakuwa PAPA.[Waroma mmenielewa]
 
Back
Top Bottom