Huyu mzee shibuda na miwani yake kama Microscope asubiri 2015 atausikia Ubunge kwenye TV sidhani hata chama cha DOVUTWA kitamkubali, miongoni mwa watu ambao walitakiwa kuishukuru CHADEMA maisha yao yote ni shibuda, angekufa njaa mzee huyu.Wanabodi
Kama kawaida ya John Shibuda kutaka kuonekana anajua kila kitu,amekosoa maneno yaliyosemwa na mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani bungeni Tundu Lissu aliposema nguo ya kuazima haisitiri uchi.
Amesema si neno zuri kulitamka hadharani kwa sababu ni maungo ya siri ya binadamu.Shibuda ameongea hayo bungeni jioni hii akichangia hoja ya uanzishwaji wa kamisheni ya kiswahili ya afrika mashariki
My take!
Kwa nini shibuda huwa tofauti sana na ukweli wanaozungumza wabunge wenzake wa chama chake? Ana ajenda gani?
Wanabodi

Nadhani hilo ndo kosa la TL, vinginevyo hiyo ni methali ya kiswahili inayosema "Nguo ya kuazima haisitiri ******"Tundu Lissu aliposema nguo ya kuazima haisitiri uchi.
Mimi naamini ujasiri wa kisiasa ni pamoja na kuwavumilia watu wenye mawazo tofauti na contoversial kama ShibudaNi kum-ignore tu. Anajenga mazingira ya kupokelewa na CCM maana anajua fika kuwa 2015 will not feature in CDM list! I guess
Mimi naamini ujasiri wa kisiasa ni pamoja na kuwavumilia watu wenye mawazo tofauti na contoversial kama Shibuda
Nadhani hilo ndo kosa la TL, vinginevyo hiyo ni methali ya kiswahili inayosema "Nguo ya kuazima haisitiri ******"
wanabodi
kama kawaida ya john shibuda kutaka kuonekana anajua kila kitu,amekosoa maneno yaliyosemwa na mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani bungeni tundu lissu aliposema nguo ya kuazima haisitiri uchi.
Amesema si neno zuri kulitamka hadharani kwa sababu ni maungo ya siri ya binadamu.shibuda ameongea hayo bungeni jioni hii akichangia hoja ya uanzishwaji wa kamisheni ya kiswahili ya afrika mashariki
my take!
Kwa nini shibuda huwa tofauti sana na ukweli wanaozungumza wabunge wenzake wa chama chake? Ana ajenda gani?
Wanabodi
Kama kawaida ya John Shibuda kutaka kuonekana anajua kila kitu,amekosoa maneno yaliyosemwa na mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani bungeni Tundu Lissu aliposema nguo ya kuazima haisitiri uchi.
Amesema si neno zuri kulitamka hadharani kwa sababu ni maungo ya siri ya binadamu.Shibuda ameongea hayo bungeni jioni hii akichangia hoja ya uanzishwaji wa kamisheni ya kiswahili ya afrika mashariki
My take!
Kwa nini shibuda huwa tofauti sana na ukweli wanaozungumza wabunge wenzake wa chama chake? Ana ajenda gani?
hata lugha nayo ni kushambulia? Ngoja nikae mbali na tafrani.