Amiliki
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,085
- 1,005
Sikujuaga kwamba Shibuda siku hizi ni Mbunge wa jimbo la Dodoma Mjini!Mchungaji msigwa pia alimpokea Rais hapa Iringa Last week
Sikujuaga kwamba Shibuda siku hizi ni Mbunge wa jimbo la Dodoma Mjini!Mchungaji msigwa pia alimpokea Rais hapa Iringa Last week
Nadhani hili ni suala binafsi, yawezekana walikuwa na appointment ili wazungumzie masuala yao binafsi kama ya kifamilia na kadhalika, plz naomba tusiliangalie hili kwa jicho la kisiasa.Wadau hili la shibuda kwenda kumpokea Kikwete limekaaje?hili nao nafikiri ni Gamba lingine.
View attachment 41723
Hata kama Shibuda angekuwa ni mbunge wa Dodoma mjini lakini hakupaswa kuwepo pale, ile ni ziara ya kichama ya JK, PALE WA KUMPOKEA NI MKUU WA MKOA KWA SABABU NI KADA WA CCM, NA VIONGOZI WOTE WAKUU WA CCM.Sikujuaga kwamba Shibuda siku hizi ni Mbunge wa jimbo la Dodoma Mjini!
Wadau hili la shibuda kwenda kumpokea Kikwete limekaaje?hili nao nafikiri ni Gamba lingine.
View attachment 41723
Siasa za kishamba hazitaisha nchi hii. Yaani wewe unadhani mtu kuwa upinzani basi asiwe na mahusiano au mawasiliano na mtu wa chama tawala? Siasa za wapi hizo? Unasemaje uhusiano wa Rais na Zitto au Mbowe na Lowassa? Ni vizuri mkajifunza kukomaa, siyo kudhani kwamba siasa ni vita. Mnaleta ushamba wa simba na yanga kwamba mchezaji akionekana na mchezaji au kiongozi wa timu pinzani basi anataka kuhongwa.
![]()
The CCM National Chairman, President Jakaya Kikwete (right), greets Maswa West MP John Shibuda (CHADEMA), after arriving in Dodoma over the weekend. The President who is also the ruling partys Chairman, will preside over NEC-CCM meeting slated for Wednesday. (Photo by State House)
Siasa za kishamba hazitaisha nchi hii. Yaani wewe unadhani mtu kuwa upinzani basi asiwe na mahusiano au mawasiliano na mtu wa chama tawala? Siasa za wapi hizo? Unasemaje uhusiano wa Rais na Zitto au Mbowe na Lowassa? Ni vizuri mkajifunza kukomaa, siyo kudhani kwamba siasa ni vita. Mnaleta ushamba wa simba na yanga kwamba mchezaji akionekana na mchezaji au kiongozi wa timu pinzani basi anataka kuhongwa.
Hakawii kukambia kwamba hawakukutana barabarani!Wadau hili la shibuda kwenda kumpokea Kikwete limekaaje?hili nao nafikiri ni Gamba lingine.
View attachment 41723