chegreyson
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 974
- 434
Mimi napata shida sana kuelewa uelewa wa watu.Shibuda alikuwa anasafiri kwa ndege kwenda kwenye shughuli zake.Kikwete alitoka kwenye shughuli zake kwenda Dodoma kwenye vikao vya chama chake.Wakati Shibunda anasubili ndege yake Rais Kikwete akawasili na kupitia vip room ambapo Shibuda alikuwepo, na wakasalimiana. Sasa hapo tatizo lipo wap? Kwani tumefikia mahali ambapo watu hawatakiwi kusalimiana kwa kuogopa maoni ya wadau?
Tuache siasa za vitina. SHIBUDA HANA KOSA LO LOTE NA KWA HILI YEYE SIYO GAMBA JINGUINE.
Tuache siasa za vitina. SHIBUDA HANA KOSA LO LOTE NA KWA HILI YEYE SIYO GAMBA JINGUINE.