1. Ni vizuri Shibuda apate nafasi kueleza CHADEMA ndani ya uongozi kukoje.
2. Nilishawaambia CHADEMA kitambo hapa, kabla hata ya uchaguzi, kwamba huyu Shbuda atawaharibia chama, anachotaka yeye ni fahari ya uongozi tu bila kujali chama, nikaonya CHADEMA wasikimbilie kumpa uongozi.
Sasa inakuwa habari ya sikio la kufa halisikii dawa na majuto mjukuu.
I hate to say I told you so, but I told you so.
Nilipoona title nilishituka kweli. Lakini nilipoangalia chini na kukuta source ni mtanzania, hata habari yenyewe sijaisoma.
Shibuda anakubalika sana kwao, hata akiwa mgombea binafsi atapata tu ubunge ndio maana haogopi kufukuzwa na magwanda
1. Ni vizuri Shibuda apate nafasi kueleza CHADEMA ndani ya uongozi kukoje.
2. Nilishawaambia CHADEMA kitambo hapa, kabla hata ya uchaguzi, kwamba huyu Shbuda atawaharibia chama, anachotaka yeye ni fahari ya uongozi tu bila kujali chama, nikaonya CHADEMA wasikimbilie kumpa uongozi.
Sasa inakuwa habari ya sikio la kufa halisikii dawa na majuto mjukuu.
I hate to say I told you so, but I told you so.
lengo lake hilo? Wasukuma tuko shidani. Tunauzwa na wasukuma wenzetu kazi kweli kwelihakuna ubishi shibuda ni wa kufukuza kutoka chadema, lakini kuna habari ambazo nimezipata kuwa shibuda ameshaahidiwa na uongozi wa juu wa ccm kuwa awe free kufanya chochote kwani wamemhakikishia hata chadema ikitaka kumfukuza watatumia influence yao kwenye vyombo vyo dola na mahakama ili wasifikie hilo lengo....wamemwahidi wana uhakika wa kumlinda mpaka 2015 utakapofanyika uchaguzi mwingine
mimi nadhani atawahangaisha sana chadema.... Wasipofanya mambo kwa kisayansi. Wamfukuze lakini plan ya hali ya juu itumike, japo nina hakika watakutana na vikwazo vingi.
Imefika muda sasa Wasukuma kutoka kanda ya ziwa kuachana na CDM chama cha kikanda na kikabila, Shibuda ananyanyashwa kutoka na Usukuma wake angekuwa ametoka kaskazini wala usingesikia maneno yoyote ya kashfa! Shibuda nakushauri ili swala kawashitakie wazee wa Kisukuma kama ulivyomshitaki Wenje, kwa wazee wa Mwanza na wazee wakakuelewa kama Wenje ni Mkenya hawana tena shida nae amalize kipindi chake aende zake kwao Kenya, Wasukuma mnaona mnavyodharauliwa na CDM.Mbona kina Selasini wanaipongeza CCM kila siku ata siku moja hawajaguswa au kwa sababu ni Wachagga!.
Hayo ni maono yako, mimi msukuma sijapendezeshwa na hayo, let Chacha rest in peace is a hero. Shibuda tangu yup ccm , sasa Chadema amesaidia nini jimboni kwake? plant ya kutengeneza au kuvuna maji kwa njia ya hewa itakayo sambaza kwenye kaya 190 inagharimu usd 3,000 na ya maji ya kuchimba kisha yavutwe kweny reseivoir inagharimu usd 5,800 ,ya uwezo wa kupeleka kwenye kaya 300. Kwa nini asishughulike na haya ambayo yatfanya zahanati za vijiji, shule za kata kuwa na maji ya bomba na salama?
Msimamo wake
Lakini Shibuda alilimbia gazeti hili jana atashangaa kama atatuhumiwa kwa maoni yake binafsi aliyoyatoa bungeni juzi juu ya kutaka wabunge waendelee kulipwa posho za vikao vya Bunge.
"Nitashangaa kama nitaitwa na kiongozi yoyote wa kambi yetu ya upinzani au Chadema kwa tuhuma za kutoa maoni yangu huru niliyoyatoa bungeni jana (juzi), hata nilipokuwa CCM nilipenda kusahihisha palipokuwa na makosa".
"Sitarajii Chadema kuna viongozi wanaweza kudidimiza demokrasia na uhuru wa kutoa maoni, wakati chama kinafanya maandamano kutoa maoni huru kwa Watanzania. Kama mimi sitakiwi kutoa maoni huru basi hakuna maana ya kuandamana kutoa maoni kwa Watanzania".
"Tusitafute hila na visa kwa maslahi binafsi, tutambue kwamba mbunge anapozungumza bungeni anasema kwa maana pana kwa watu wenye mitazamo tofauti kwa lengo la kuleta fikra endelevu".
Alisema kwamba hana habari kama wabunge wote wa Chadema walikutana na kukubaliana kuikataa posho ya vikao vya Bunge.
Shibuda akifafanua zaidi suala hilo la posho japo kwenye Ilani ya Uchaguzi wa 2010 ya chama chake ilitaka kupunguza posho hizo za vikao pamoja na mshahara wa mbunge, alisema, "Ilani ya Uchaguzi ni mpango kazi wa kuendeleza programu ya chama kilichopo madarakani, kwa hiyo hivi sasa hapa bungeni bila kujali itikadi zetu wabunge tunaunganishwa na programu ya kuendeleza nchi, utawala bora na uongozi wa kuongoza fikra za Watanzania".
Add this page to your favorite Social Bookmarking websites
Sijui!! Lakini kuna ka ukweli hapa na ndio maana wakubwa wa humu (Jamii Forum) hamleti mjadala!
Baki tu kwenye magamba usitafue visingizio! Chama kipo kila kona ya nchi wewe umeaminishwa mambo ya u-kaskazini na kwa akili yako ya panzi unaamini kwamba ni kweli! Kweli ufisadi umewafunika macho!Nimefuatilia harakati za chama cha cdm tangu 1992 chini ya uongozi wa Edwin mtei, nimeshindwa kushawishika kabisa kujiunga na chama hiki, kila mwanachama anapolalamikia uongozi wa chama shutuma anazotoa utasikia chama kina ukabila, ukaskazini leo tena ameibuka shibuda anasema viongozi hawana demokrasia bali wamejaa umimi na uyeye kila siku ni migogoro, kwanza chama kilipasuka wakatoka watu wakaenda kuunda SAU, kisha ikafuatiwa kuondoka KABOUROU akafuata Akwilombe wote hawa wanalalamikia ukabila, marehemu chacha naye alipita humo humo kwenye ukabila