uko sawa kwani ni bora kubaki na wabunge wachache walio makini kuliko kuwa na wabunge wengi wa aina ya Shibuda!Nina hamu sana kusikia wasaliti wa sera mbadala za wananchi wakichinjiwa baharini...Mimi binafsi simkubli Shibuda toka amehamia CHADEMA. Ni mtu mwenye jazba, hasira, mropokaji, mswahili halafu top in top ni mpenda madaraka saaana. Asije akajidanganya kuwa Shinyanga wamechagua mtu. Wale wanachagua jembe lolote toka CHADEMA hata akiwa bwana Eliesikia ndio anaomba kura. Majimbo 8 Manne CHADEMA, Moja mjini liliharibika na CCM matatu(moja la jembe Lembeli).myVision:Mi ninachotaka CHADEMA wasimung'unye maneno wala kufinyanga hiyo kesho au kesho kutwa baada ya kikao tumpe Tiketi apotelee mbali.Tuacha woga lile jimbo tunashinda sisi kama sisi CHADEMA.
Acha fikra potofu za ubaguzi wa kikanda na kikabila. Mchango wako umejaa uchonganishi na siasa za chuki.Imefika muda sasa Wasukuma kutoka kanda ya ziwa kuachana na CDM chama cha kikanda na kikabila, Shibuda ananyanyashwa kutoka na Usukuma wake angekuwa ametoka kaskazini wala usingesikia maneno yoyote ya kashfa! Shibuda nakushauri ili swala kawashitakie wazee wa Kisukuma kama ulivyomshitaki Wenje, kwa wazee wa Mwanza na wazee wakakuelewa kama Wenje ni Mkenya hawana tena shida nae amalize kipindi chake aende zake kwao Kenya, Wasukuma mnaona mnavyodharauliwa na CDM.Mbona kina Selasini wanaipongeza CCM kila siku ata siku moja hawajaguswa au kwa sababu ni Wachagga!.
unajitahidi kufitini ili CDM iingie kwenye mgogoro usio wa lazima lakini utashindwa tuuuuuuuuuuuuuuuuuuu aliyekuajiri kwa hilo ameula wa chuya CDM wanayo mambo makubwa ya kushughulikia siyo hilo la Shibuda. CCM waanze kufukuza Mwakyembe, Sita na Mnauye
Kwani CHADEMA msukuma ni yeye tu....Sheikh Makani yupo muda mrefu...hoja yako dhaifu sana
Imefika muda sasa Wasukuma kutoka kanda ya ziwa kuachana na CDM chama cha kikanda na kikabila, Shibuda ananyanyashwa kutoka na Usukuma wake angekuwa ametoka kaskazini wala usingesikia maneno yoyote ya kashfa! Shibuda nakushauri ili swala kawashitakie wazee wa Kisukuma kama ulivyomshitaki Wenje, kwa wazee wa Mwanza na wazee wakakuelewa kama Wenje ni Mkenya hawana tena shida nae amalize kipindi chake aende zake kwao Kenya, Wasukuma mnaona mnavyodharauliwa na CDM.Mbona kina Selasini wanaipongeza CCM kila siku ata siku moja hawajaguswa au kwa sababu ni Wachagga!.
Bata kasoro manyoya we.Imefika muda sasa Wasukuma kutoka kanda ya ziwa kuachana na CDM chama cha kikanda na kikabila, Shibuda ananyanyashwa kutoka na Usukuma wake angekuwa ametoka kaskazini wala usingesikia maneno yoyote ya kashfa! Shibuda nakushauri ili swala kawashitakie wazee wa Kisukuma kama ulivyomshitaki Wenje, kwa wazee wa Mwanza na wazee wakakuelewa kama Wenje ni Mkenya hawana tena shida nae amalize kipindi chake aende zake kwao Kenya, Wasukuma mnaona mnavyodharauliwa na CDM.Mbona kina Selasini wanaipongeza CCM kila siku ata siku moja hawajaguswa au kwa sababu ni Wachagga!.
Thanks mkuu heshima mbele.when i joined this forum,JUST YESTERDAY, I made a promise not to argue with NON THINKERS, unfortunately I couldn't resist lol - I didn't know that WASUKUMA are from the SOUTHERN Tanzania(and this explains all about your void, i think i have to go back to school!!!My Prof. used to tell me never discuss anything with fools as they will let you fly low where they used to and eventually they'll defeat you with their flying low experience, absit iniuria verbis Mr. Ritz!!! My Prof didnt know that some fools do not fly at all and Ritz is a living example!!!I apologize to my mind for engaging in this useless conversation with a far useless person like Ritz!!!!
Mjadala huu umeongea makosa makubwa ya Shibuda kuwa: Hana ushirikiano wa pamoja na wenzake, he is not well informed of what is going on in CDM, Anatoa msimamo tofauti na chama chake, ni CCM akifanya upelelezi CDM, Hahudhurii vikao vya chama/wabunge wenzake na anabwabwaja nje tu
Ambacho sikukiona na hoja muhimu aliyoisema shibuda katika habari kuu kwamba .
- Atashangaa sana na hatarajii kama CDM kuna viongozi wanaweza kudidimiza demokrasia na uhuru wa kutoa maoni huru, wakati chama kinafanya maandamano kutoa maoni huru kwa Watanzania. Kama yeye hatakiwi kufanya hivyo, basi nini maana ya kuandamana kutoa maoni kwa Watanzania".
- Mbunge anapozungumza bungeni anasema kwa maana pana kwa watu wenye mitazamo tofauti kwa lengo la kuleta fikra endelevu".
- Hana habari kama wabunge wote wa Chadema walikutana na kukubaliana kuikataa posho.
Nikiongelea highlights hapo juu, Moja: Je Demokrasia inayopiganiwa na CDM ni ile ya uamuzi wa (Chama) wa pamoja au ile ya mtu kuwa huru kutoa mawazo kwenye mambo yanayoathiri maisha yake? Pili: Je Shibuda ni mbunge wa Maswa kupitia CDM au mbunge wa CDM kupitia kupitia wilaya ya Maswa; Tatu: Je ni wabunge wote walikaa wakakubaliana kwenye hili, na kwa nini liwe hili tu la posho na isiongezwe na mishahara ya wabunge kama ilivyoainishwa katika ilani ya CDM ya mwaka 2010.
Swali la mwisho kwa mwenye kufikiri: Je kabla ya kumsajili Shibuda kuwa mchezaji wa CDM kuna sehemu yoyote iliyomtaka abadilishe misimamo yake ambayo ilifahamika sana toka alipokuwa jumuia ya wazazi? Labda kikubwa ni kwa CDM kuwa na orodha ya watu ambao ingependa wajiunge na chama chao ili kuepuka migongano iliyowahi kujitokeza kuanzia kwa kina Wangwe (RIP), Zito, Kafulila, na sasa Shibuda. Na ili hilo lifanikiwe itabidi wapate watu wenye sifa kuu ya kudumisha fikra sahihi za kidemokrasia za Mwenyekiti na Katibu wa CDM.