Shibuda aishangaa demokrasia ya CHADEMA

Huyo ana matatizo makubwa sana, hapa CDM wana kazi sana!
 
source ya habari yako ndugu? Au ndo gazeti la Uhuru na Mtanzania.?
 
Hebu tujiulize kidogo. Mh Zitto alipokataa kususia hotuba ya JK Bungeni alichukuliwa hatua gani? Siku zote nasema kambale ni wengi mno CHADEMA. Kila mtu mle ana sharubu. Zitto, Lema, Shibuda,.....wote wanadhani ni maarufu kuliko CHADEMA yenyewe. Hii ni hatari ikiachwa iendelee hivi.
 
hivi huyu jamaa ana watoto kweli? mbona anaiaibisha sana familia yake?
 
Shibuda go to HELL!
Hapa kazi ipo, si umemskia eti posho ndio kipozeo cha wabunge, this is non sense, kama tunavyoambiwa ualimu na udaktari ni kazi ya wito tufikirie maslahi ya wagonjwa/ wanafunzi kabla ya maslahi yetu binafsi na familia zetu sioni kwa nini huu ubunge hauonekani kama kazi ya wito wakati sisi wenyewe wananchi ndio tumewachagua hao wabunge na wanawajibika kwetu.......
 
Unauliza kuhusu Source? Mimi ni mmoja wa walioshiriki hayo mahojiano;
Huyu jamaa hafai kabisa
 
Unauliza kuhusu Source? Mimi ni mmoja wa walioshiriki hayo mahojiano;
Huyu jamaa hafai kabisa

Jamani tuwe wakweli:Zitto hakufikia kiwango hiki cha utovu wa nidhamu,walau alisusia hotuba lakini hakuropoka utumbo kama huu wa shibuda.
 
Unauliza kuhusu Source? Mimi ni mmoja wa walioshiriki hayo mahojiano;
Huyu jamaa hafai kabisa

Jamani tuwe wakweli:Zitto hakufikia kiwango hiki cha utovu wa nidhamu,walau alisusia hotuba lakini hakuropoka utumbo kama huu wa shibuda.
Alianza Zitto kuonyesha ukaidi kwa maamuzi ya pamoja ya chama chake. Tena ujue Zitto ni kiongozi mkubwa sana ndani ya CHADEMA na ni naibu KUB. Kwa watu wajinga kama alivyo Shibuda huu utakuwa ni utetezi mzuri kwake.
 
Alianza Zitto kuonyesha ukaidi kwa maamuzi ya pamoja ya chama chake. Tena ujue Zitto ni kiongozi mkubwa sana ndani ya CHADEMA na ni naibu KUB. Kwa watu wajinga kama alivyo Shibuda huu utakuwa ni utetezi mzuri kwake.

Tuwe wakweli: Je Zitto alifikia mahali pa kumtukana mwenyekiti wake? Je alifikia mahali pa kuitisha mikutano ya kutukana viongozi? Je si aliomba radhi alipoitwa na kamati ya wazee wa chama iliyoundwa kumchunguza? Shibuda hana utetezi wowote katika hili.Shibuda ameapa kugawa chama vipande viwili kuliko kumtii mbowe na Zitto,je hii ni sawa?
 
Kuna kipindi Rizi one ( Mtuhumiwa mwingine) alituambia CHADEMA tumechukua mgonjwa wa akili tukabisha - sasa hata mimi naamini jamaa kichwa yake haijakaa sawa. tena cha kushukuru hajapewa mamlaka ndani ya chama, arudi CCM akale POSHO anazozitaka - sisi CHADEMA tumeapa kuwasaidia wananchi wanaonyonywa, kunyanyaswa na kunyimwa haki zao za msingi pamoja na kusimamia rasilimali za taifa hili zisiporwe na mafisadi.

So the guy is not part of our mission & vision - he has to go back to Magamba's.

 
Zito alishajitetea kwenye tamko lake la juzi juu ya shibuda nanukuu "Unaweza ukaenda kinyume na utaratibu wa chama likawa si kosa kubwa na linasameheka lakini Ukienda kinyume na sera za chama maana yake wewe hufai kwenye chama" Zito yeye hakwenda tofauti na sera za chama bali alienda kinyume na utaratibu wa chama na mkumbuke kususia hotuba ya rais haikuwa sera lkn kuhusu posho ni sera ya Cdm.
 
hivi huyu jamaa ana watoto kweli? mbona anaiaibisha sana familia yake?
nilibahatika kukutana na mwanae mmoja ni mtaratibu sana na msomi, nikaomuhoji lakini hakuwa interested sana mambo ya siasa akaniambia " aa dingi tumemshauri sana aachane na mambo ya siasa lakini hataki"

mi nafikiri jamaaa ni msanii na kwa hili la posho anataka Tanzania nzima wajue uwepo wake - CHADEMA wawe makini ku deal na watu wa aina hii.
 
“Mbowe anaendesha chama kibabe na anaungwa mkono na Zitto
hapa tumwamini nani sasa si juzi tu hapa tulikuwa tunaambiwa zito na mbowe haziivi huyu naye anakuaja na findings nyingine tofauti.
 
Unadhani Zitto sasa kabadilika? Shibuda ataigawa vipi CHADEMA! Hana mizizi wala pa kushika mle ndani ya CHADEMA. Natamani Dr Slaa au Mh Mbowe wawe wakali kwa wote kama walivyofanya kwa Kafulila. Vinginevyo waendelee kuwachekea nyani tu.
 
Posho ni sera ya CHADEMA?! Watakuwa wameishiwa sera kwa kweli. Ukumbuke suala la Posho lilikuwa la Zitto mwenyewe kabla hajaliuza kwa taabu kwa chama chake.
 
ccm wameshamkatia mlungula kudhoofisha hoja ya posho,..damn,..everybody has got his price,..kwenye huu msafala wa mamba kaingia dinausor,anawatafuna wenzake kinoma,...huyu jamaa asifukuzwer ila atengwe mpaka ajiondoe mwenyewe,asipewe siri yoyote ya chama,hana pa kwenda labda tlp,ccm keshaharibu sana ingawaje nina wasiwasi alitumwa for a specila task,..akifukuzwa atapata umaarufu,..halafu misemo yake ukiitafakari kwa makini utagundua haiendani na subject matter,ni uropokaji tu..i feel like slapping the sh*t outta shibuda...traitor
 
Gamba hilo haliwezi kutuvuruga sisi hana jipya huyo ni walewale wote wamoja yeye ni kama tone la maji baharini


 
Frankly speaking Shibuda is a mess to CDM and the only way is to get rid of him.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…