Wamfukuze tu, wasingekuwa vijana wala asingepata ushindi,na angegombea kupitia chama tofauti na CHADEMA leo hii hasingekuwa bungeni. Wamuondoe haraka la sivyo atakiua chama.
Mkuu siasa ni sayansi na sio nadharia tu.dunia nzima ipo hivyo na ccm wanatoa tafsiri yao ya maendeleo tunaimba nao,tafsiri ya amani,na sasa siasa na itikadi wanatafsiri negatively.cdm wakimlea shibuda tusubiri!shibuda ana bahati kubwa, nimeongea na mjumbe mmoja wa kamati kuu ya chadema, wao wanasema watu kama shibuda wanapaswa kuwa tu chadema kwa kuwa ndo chama cha kidemokrasia, hawakusudii kumtupa anatekeleza demokrasia. mkumbuke kuwa ccm walimshindwa
Presentation yako inahitaji ufafanuzi zaidi. Kinachosekana hapa ni nini alichosema Shibuda. Hapo ndipo penye mfupa wa kujadili.
Kweli huyu jamaa ni mzigo, ndio maana ccm walimshindwa!
Watu wengine wapumbavu sana... Mbona ccm wanafanya mipasho ham semi acheni mambo ya kipumbavu
Kwa nilioyaona mimi, Shibuda sio mpinzani, CDM wawe wanaangalia watu wa kuwaingiza kwenye chama, huyu shibuda ana damu ya ccm kwenye mishipa yake na amesema hatabadilishwa na mtu. CCM wanamshangilia kwa kuwa na wao ni watu wa mipasho.Mkuu yalikuwa mashairi huku akishangiliwa kwa nguvu sana na watu wa CCM hata kupata flow yake na kuipresent ni ngumu kidogo lakini ukweli hakuongea vyema.