Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Wakuu,
Wakati mwanaye akiendeleza harakati pale Chipukizi, baba mtu naye amaeamua kujitosa udiwani kata ya Mchikichini, Dar es salaa.
===
Nurdin Bilal Ally Juma alimaarufu kama Shetta amechukua Fomu ya Kutia Nia ya kugombea Udiwani kata ya Mchikichini - Ilala Jijini Dar Es salaam.
Hapa Shetta akikabidhiwa fomu na Mkurugenzi wa uchaguzi Ccm Kata Mchikichini bi. Hellen Madanganya.
Chanzo: Bongo Five