Shetani! Ni mwanamke!?

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
7,971
13,605
WanaJF, ni kweli shetani ni mwanamke? Kama c mwanamke basi,shetani anapenda kuwatumia wanawake, kwenye maovu mengi... Kwa mfano nyoka (shetani) alimdanganya HAWA. Hawa naye akamdanganya Adam,akala tunda la mti waliokatazwa na mungu. Delila (mwanamke huyo) akitumiwa na wafilisti, baada ya kumhadaa SAMSON, na kujua siri ya nywele za samson alitoa siri kwa wafilisti, wakafanikiwa kumkamata na kumtoboa macho.

Mke wa Ayubu( mwanamke huyo) baada ya Ayubu kupoteza mali,zake na watoto wake alimwambia "si umkufuru mungu tu ukafe..angalia kwa sasa wanawake wanavyovaa nguo za ajabu, wanatembea nusu uchi, wanafanya biashara ya ngono. Kwa kweli wanamambo ya hovyo sana,na mengi ni chukizo wa mungu. Je huku c kutumiwa na shetani?
 
WanaJF, ni kweli shetani ni mwanamke? Kama c mwanamke basi,shetani anapenda kuwatumia wanawake, kwenye maovu mengi... Kwa mfano nyoka (shetani) alimdanganya HAWA. Hawa naye akamdanganya Adam,akala tunda la mti waliokatazwa na mungu. Delila (mwanamke huyo) akitumiwa na wafilisti, baada ya kumhadaa SAMSON,na kujua siri ya nywele za samson alitoa siri kwa wafilisti, wakafanikiwa kumkamata na kumtoboa macho. Mke wa Ayubu( mwanamke huyo) baada ya Ayubu kupoteza mali,zake na watoto wake alimwambia "si umkufuru mungu tu ukafe..angalia kwa sasa wanawake wanavyovaa nguo za ajabu, wanatembea nusu uchi, wanafanya biashara ya ngono. Kwa kweli wanamambo ya hovyo sana,na mengi ni chukizo wa mungu. Je huku c kutumiwa na shetani?

Duh, kama ni hivyo, basi wanawake wana kazi kubwa kweli kuondoa hizi fikra na ki-mfumo dume...............
Hivi hao wanawake wanaofanya biashara ya ngono wanawauzia wanaume au wanawake wenzao...................... swali la kijinga eh!

Ama kweli wafadhilaka Wapundaka............... Natamamani thread hii aisome mama aliyekuzaa................
 
Jibu rahisi ni hili;
Chukua heading yako kisha igeuze vice-versa!!!
 
Unataka kusema mwanamke ni shetani?. Subiri uanze kushambuliwa na wenyewe. Naona bado hawajaanza kutoa hoja zao.
 
Nitajibu kuhusu Eve. Umeshindwa elewa Biblia ilisema nini na nani alipewa amri ya kuto kula Tunda. Go and read again na utagundua kuwa it is/was Adam who was given and/or told not to eat the fruit of knowledge of good and evil na si Hawa kama ulivyo sema wewe hapa. Hakuna aya inayo kusaidia kwa hilo. Ndio maana, when Eve ate the fruit macho yake hayakufunguliwa. Kosa lilifanywa na Adam na si Mwanamke kama unavyo dai wewe hapa.
 
Maandiko matakatifu yanasema wazi kwamba shetani ni kiumbe wa kiroho aliemwasi Yehova na kutupwa kutoka mbinguni, naye ni mkuu wa mapepo na majini. Lakini maandiko Matakatifu hayasemi kama shetani ni mwanaume au mwanamke.
 
Mh! Mwanamke, mwanamke! Unadhani Adam angemtii Mungu km alivyoambiwa angeleta dhahama hii? Je Samsoni angesimama kwa nafasi yake akaresist temptation yangemkuta yaliyomkuta? Ayoub ni mfano mzuri, aliresist, akasimama ktk nafasi yake na mwisho wake ulikuwa mzuri. So makosa au ushetani sio wa wanawake bali ni ya hao wanaume as we have seen wakiweza kuzishinda tamaa na vishawishi then mambo yananyooka. WANAUME NI CHACHU YA KUPUNGUZA AU KUONDOA UOVU DUNIANI na sio wanawake so Shetani ni mwanaume km unabisha......bisha!
 
Mh! Mwanamke, mwanamke! Unadhani Adam angemtii Mungu km alivyoambiwa angeleta dhahama hii? Je Samsoni angesimama kwa nafasi yake akaresist temptation yangemkuta yaliyomkuta? Ayoub ni mfano mzuri, aliresist, akasimama ktk nafasi yake na mwisho wake ulikuwa mzuri. So makosa au ushetani sio wa wanawake bali ni ya hao wanaume as we have seen wakiweza kuzishinda tamaa na vishawishi then mambo yananyooka. WANAUME NI CHACHU YA KUPUNGUZA AU KUONDOA UOVU DUNIANI na sio wanawake so Shetani ni mwanaume km unabisha......bisha!

mkuu ni wapi shetani amejaribu kumtumia mwanaume? Alijaribu kwa Yesu akashindwa. Mwanamke anaweza asiwe shetani,lakini akatumiwa na shetani.
 
ni mtazamo tu na maono ya historia.................hata mwanaume anaeza kua shetani vilevile

Ni hivi, mwanaume au mwanamke, hawezi kuwa shetani, ila wanaweza kutumikishwa na shetani au kuwa watumwa wa shetani (i.e. they can be possessed by demons).
 
Biblia nayo imefanya ubaguzi! Kwani kuna andiko linasema usimwache mwanamke mchawi akaishi.
 
Mwanamke anatumiwa na shetani maana ni rahisi kwa mwanamke kudanganywa na yeye akamhusisha mumewe baada ya kudanganywa. Ila sidhani kama wanawake ni mashetani ila wanatumiwa hata kwenye mikutano ya kiroho idadi kubwa ya wanawake huanguka na kuombewa na wahubiri kama kina Mwakasege, Lusekelo, Mwingira
 
Back
Top Bottom