fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,678
- 7,325
- Thread starter
- #21
asante by the grace of GodHasali.
Shetani amenyimwa utii na Mwenyezi Mungu ili aadhibiwe siku ya mwisho.
Amenyimwa utii ili asije akaomba msamaha na akasamehewa makosa yake.Mungu hamhitaji tena shetani kwenye ufalme wake.
Shetani hawezi kukiomba wala kukisujudia kiumbe chochote kile kwa sababu nafsi yake imejazwa kiburi kwa makusudi.