Shetani ana uwezo mkubwa sana

Kinachomfanya shetani aendelee kutamba ni uaminifu mkuu kabisa wa Mungu ktk ahadi zake. Alimpatia shetani miaka yake ya kutamba na count down inaendelea and God as usual keeps his promise to the devil.
Count down ikifika zero utamhurumia shetan wako huyo unaempigia mapambio leo pamoja na nyie wapambe wake(soul sellers)
 
E bwana embu tuchangiane mawazo huyu kiumbe shetani ni kiumbe mwenye nguvu sana ,kiukweli anatisha ,ni hivi
  • Ameweza kumiliki jeshi la mbinguni
  • Ameharibu mipango mingi ya Muumbaji,
  • Licha ya kumjua Mungu bado anamtunishia kifua
  • Ametawala sehemu kubwa ya ulimwengu wa Nuru na ulimwengu wa Giza ndio kaubeba kabisa

Yako mengi ambayo ameyafanya yanatisha kiukweli tunahitaji msaada wa Mungu siyo rahisi kupona ,maana huku duniani ndiko alikotupwa ,maana maandiko matakatifu yanasimulia kulitokea vita kuu mbinguni ,aisee labda hatujui ila ni vita iliyisheheni maarifa ya hali ya juu ,zana zenye uwezo wa kutisha,silaha zenye kuangamiza mwili na roho.

Huyu kiumbe aliwasha moto yaani aliliamsha kwelikweli,Mikael mkuu wa majeshi ikabidi aombe msaada ,ndipo ushindi mwembamba ukapatikana.

Najiuliza sisi binadamu ambao hata ulimwengu wa roho hatuujui,wala hatuna silaha yoyote ya maana tutatoboa?
Kwanza hajatawala ulimwengu wa Nuru na hawezi ,yeye ni wa Gizani!

Pili ,ulimwengu wa roho unajulikana labda wewe mkuu ndo hujaujua,Fanya juu chini uujue!

Tatu ,silaha tunazo ,soma vizuri biblia silaha zipo nyingi sana za kumuangamiza mbona,Mungu ametupa,ila sisi ndo hatujui kuzitumia!

NNE ni kweli km mwanadamu huwezi,ndo maana neno linasema,...mkaribieni Mungu nae atawakaribia ndipo mmpinge shetani nae atawakimbia...
Kwahiyo hakuna mwanadamu yyt mwenye nguvu ,uwezo wa kumpinga shetani bila kwenda kwa Mungu kwanza akapewa nguvu na maarifa ya namna ya kumshinda shetani!wengi wanafanya vita mwilini bila kujua,wakati neno limesema.... Vita vyetu si juu ya damu na nyama.....
Kwa kifupi umpokee Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yako kwanza !

Tano,Mikael na jeshi lake hawakushinda kwa ushindi mwembamba km unavyodhani, walishinda kwa kishindo kwa damu ya mwanakondoo! (Ya Yesu,Mungu mwenyewe)hapo ndo shetani alipochemka!
Ndo maana mpk leo bado anahangaika kutoa kafara za damu za wanyama,watu nk...

Niishie hapa kwa leo...
 
Mleta mada shetani pia ni mtoto wa Mungu!!! kwanza mwenzenu aliishi mbinguni hakuna wa kumtisha!! mitaa yote anaijua kule!!! anapiga story na Mungu tu km ivi! si unakumbuka pale Bustanini waliongea?? sasa leo nani anapiga story na Mungu?

Mungu ni Mungu tu ana yake kichwani anaweza pitish msamaha wa jumla na bado shetani akapeta milele tu! si mwanae???!....mbona sasa hamuangamizi? unaju kwa nini........ni mwanae kamuumba kwa gharama kubwa sana!
Aliekwambia Mungu ana kichwa Ni nani?
 
Unamuona shetani ni kiumbe mwenye nguvu sana usijue ni kwa sababu anapewa nafasi sana. Inaonesha hujajua bado kwa nini Yesu alikuja duniani au unadhani alikuja kuzurura?. Kaa ndani ya Kristo Yesu uone kama hutoboi.
 
N kweli bwashee ndio maana tunasaidiana mawazo
 
Mleta mada shetani pia ni mtoto wa Mungu!!! kwanza mwenzenu aliishi mbinguni hakuna wa kumtisha!! mitaa yote anaijua kule!!! anapiga story na Mungu tu km ivi! si unakumbuka pale Bustanini waliongea?? sasa leo nani anapiga story na Mungu?

Mungu ni Mungu tu ana yake kichwani anaweza pitish msamaha wa jumla na bado shetani akapeta milele tu! si mwanae???!....mbona sasa hamuangamizi? unaju kwa nini........ni mwanae kamuumba kwa gharama kubwa sana!

Fate ya shetani mbona ipo sealed!

“Huyo joka na yule nabii wa uongo mahali pao ni kwenye lile ziwa la moto “ Ufunuo
 
Kwa kifupi tu ni kwamba hata Mungu mwenyewe ameshasarenda, amekubali kushindwa na shetani, hana namna!

Shetani ndiye mmiliki halisi wa ulimwengu huu, ndio ukisoma kwenye biblia, shetani alimuonyesha Yesu miliki za ulimwengu na kuahidi kumpatia kama atamsujudia.
Lakini pia, Mungu amekiri kabisa katika biblia kuwa binadamu walio wengi watafuata ushawishi wa shetani na wachache sana ndio watafuata maelekezo ya Mungu, yaani shetani ndiye mwenye ushawishi zaidi juu ya wanadamu kuliko Mungu... Imagine!

Hoja hiyo hapo juu inathibitishwa na ushahidi kuwa ni wachache tu watakaoingia mbinguni/peponi, bali walio wengi wataenda jehanamu, kwa ushawishi wa shetani!

Mungu kazidiwa kabisa na shetani, na jambo la kusikitisha ni kwamba hana uwezo wa kumwangamiza shetani, HAWEZI! Hivyo anabaki kutia huruma tu, hana la kufanya na shetani anatamba bila wasiwasi, popote. SHETANI hoyeeeee!

Unazijua mbinu za Shetani kijana??
Shetani akikuambia kitu usimwamini ni uongo

Quote
“Ndani yake ( rohoni mwake) Hapana ukweli “ Bible!

Kwa hivyo wakati shetani anamwambia yesu kwamba miliki zote za ulimwengu ni zake he was lying!!

In fact alikua anaongea kwa mmiliki halisi hahahaa!

Ndiyo Shetani ni mjanja kama wanawake tuu na kusema hivyo AMEJIMILIKISHA

Kumbuka kujimilikisha siyo kumiliki bali kujifanya wewe mmiliki

Yani utengeneze milki wewe halafu umwachie mwingine, mwanadamu hawezi kufanya hivyo Vipi Mungu”!

Na bible inapoandika kwa kumnakili Shetani haimanishi anachokisema Shetani ni kweli

Kwa iyo Shetani siyo mmiliki na hajawahi kumiliki ulimwengu huu tangu mwanzo na hata siku ile anajaribu Kumdanganya yesu hakuwa mmiliki!

Mungu ni bepari mmoja mzuri tu ambaye hawezi kugawa mali zake at any cost!

Mungu ni Capitalist tena wa ngazi ya Imperialist kabisa

Halafu usije dhani Mungu Siyo mjanja kwamba ujanja anao ibilisi/ Shetani tuu hahahaa

Mungu Mjanja hata Shetani hafui dafu!

Ukitaka kujua Mungu ni Mjanja Angalia alivyokua anawashauri Waisrael wapigane vita—- Full Mbinu na walikua wanashinda!

Mungu ni mjanja na kisasa tunasema “ Mtoto wa Mjini “ huwezi Mwingiza Kingi hata kidogo!
Mungu anaujua Uongo sema hawezi Sema Uongo yeye husema Ukweli daima——
Aseme Uongo ili iweje wakati yeye ni mtawala na mmiliki na ndiyo top!!

Shetani Anaujua ukweli lakini daima hawezi toa neno lenye ukweli kinywani mwake!!

Mungu ndiye aliyeweka foundation ya Natural laws zote unazozijua hadi zile psychological Laws!

Na in the end!
Huwezi mdanganya Mungu

Bible imerekodi maandishi ambayo ni Mawazo ya Mtu/ Watu hata kabla hawajayasema au kuyatekeleza

Utakuta maneno kama haya

1. “Akasema moyoni mwake”
2. “ Akawaza”
Nk

Hata Shetani ameandikiwa alikua mwema hadi siku ile uovu ulipoingia moyoni mwake !

Shetani akasema moyoni mwake “Nitapanda hadi mlima wa Mungu “

Ebu imajini mawazo ya Mtu/ kiumbe yanawekwa wazi katika maandishi!!!

Kwa hiyo Shetani hajawin hii vita na yupo restless sana now hadi imeandikwa state yake sasa hivi “ anazunguka huku na huko “

Mtu anayezunguka huku na huko akitafuta mtu ammeze means yupo Anahangaika!!

Simply jamaa yupo Vitani and anatafuta watu awameze kwa njia zote zaidi ikiwa Uongo na Kuwafanganyia watu Mali!

Jamaa ukila chake lazima ulipie hana free lunch

Lakini ebu tazama vya Mungu tunavyovitumia Bila malipo hadi raha!
 
Hata Shetani ameandikiwa alikua mwema hadi siku ile uovu ulipoingia moyoni mwake !

Shetani akasema moyoni mwake “Nitapanda hadi mlima wa Mungu “
Mungu alimchezea Rough sana shetani kwa nini aliachia uovu uingie moyoni mwake!! wkt aliweza kuuzuia! hata kumbadirisha mwanae?? ivi wewe utaacha first born wako apotee iviiv? wkt umemsomesha? kwa ninialimuumba mshindani wake?? au ina maana hakujua?? Kwa nini wana tuchezea ivo?
Mtu anayezunguka huku na huko akitafuta mtu ammeze means yupo Anahangaika!!
Kwani si ndo Mkuu wa ulimwengu huu!! kwa mujibu wa Biblia!!! sasa akavinjari wapi!???.......Mungu lazima ajibu hoja zetu tunamuhtaji sana!! aje faster hapa!!...... anachelewa tu!! akifika mniite!
Shetani hajawin hii vita na yupo restless sana
Hapana shetani ameshinda mara kibao tu.......Bustanini kuleee Eden ali mu-win Adamu kirahisi sana !! kupitia Eva hata hawakufaidi maisha ya kule bustanini!! wakafukuzwa Bustanini mpaka leo kizazi cha Adamu kinahangaika kusiko julikana ,

Na ni marufuku kukanyaga, wala kujua Bustanini kulipo!! mpka leo hii!!..... huyohuyo dogo satan! alifanikiwa kumuua Abel na wakamzika pyuuu mpaka leo hakuacha uzao wala mtoto wa kusingiziwa!!!...... je Mungu anamuogopa??

shetani alifanikiwa kumnyanganya urithi naniliu yule ....esau.. kaka yake Yusufu!!...na huyu Yusufu! akaiba mibaraka ya kaka yake ( Esau) kiutapeli sana tena waziwazi!! mbele ya Malaika,ile ya uzaliwa wa kwanza akatorokea kwa Rabani ...unabisha?? na Mungu aliagiza usiibe....kwa nini dogo aliiba na kutoroka na Mali ya Mibaraka???

Matokeo ya uwizi wizi!!! ule ndo maana walikaa utumwani Misri iviivi miaka mia nne! wakiteseka!!! Yusufu alikuwa Tapeli wa mibaraka ndo maana hata Taifa la Israel liliishi kwa shida mnooo!!...mara wapigwe vita wafe , mara wateswee!

Mpaka leo hawajulikani wako wapi yaani wamepigikaaa!!! hoi bin taabani!!! hawajui hata wao ni wateule wa Mungu!!!! wachache sana tunajua siri hii!!...yoote haya ni sababu ya wizi wizi wa mibaraka isiyomuhusu!

ange baki nazo yule mzaliwa wa Kwanza tu Esau! hata wao hao madogo wangeishi kwa amani na upendo! mpaka leo ndo wangekuwa wanaenda mwezini huko! na kurudi! ila sasa

ajili ya ule utapeli..... hata sometimes walikuwa wana mwasi Mungu! waliishi kimagutu sana miaka yao yote mara wa mwasi Mungu!! mara wapotee kabisaa Duniani hawana heshima ajili ya tapeli mmoja!

Tena msipotezee watoto wa Esau ndo hao wanao enda Mwezini wao wanapeta dogo ange acha ile mibaraka na wao wangepeta ila alikuwa mvurugaji sana! alipata lkn yuko wapi?? kizazi chake ndo hao watumwa!!

Kizazi cha Esau unakisikia wewe?? ......wale wanakula Bata mwanzo mwisho!....huyu alijiingiza kwenye maatizo tu!! na kamwe hajawahi kuwa na amani! je hapa shetani haja fanikiwa kumdanganya dogo, awe mwizi??

Yaani kamwe Israel isinge yumba! yumba hivi km leo!! na ukiangalia sana shetani alikuwa anamtumia mwanamke kuharibu mambo!! hapa kwa yusufu pia Mamake alihusika! Kuharibu mipango ya Mungu! km haitoshi...

SHetani huyuhuyu alimshinda Yuda Iscariote mtu aliye tembea na upako wa Yesu-Mungu mwana miaka kibao na akashawishika kwa laki tatu tu!! na ku zamisha Yesu kwa Wajeda na mafarisayo wa kirumi,

hii ikapelekea Yesu apate kichapo cha mbwa mwizi kikali sana pale Golgotha!! mpaka akalia kilio kikuu je hayo si mafanikio ya shetani??? make ndo alitaka hivo!! ikawa ivo kweli! kwanini Mungu hakuingilia kati kumuokoa Yuda??

au basi ampe adhabu nyingine japo kwa kificho huko!! unadhani sisi tulio watoto wake tukiona ivo hatutishiki???
 
Mkuu
Shetani kuwawin hao watu uliowataja kuanzia na Adam siyo kumuwin Mungu!

Ukizungumzia vita hii kati ya Shetani na Mungu , God is the winner and the controller

Lakini Vita ya Shetani na sisi binadamu ibilisi ni mshindi!
That’s why Mungu alitoa Kafara Ili sisi tukombolewe kutoka kwenye yake ibilisi na sasa hivi tuko Huru!

Mambo ya Ukombozi kupitia kafara yana mwanzo kutoka kwa Mungu Mwenyewe na hii pia Shetani amekopi!!
Vijana wake na all of his followers anawadanganya hadi kufikia point ya kuua!!

Kwa hiyo Shetani ni Copist ( Copycat) mzuri tuu!

Kitu ambacho Shetani hajawahi kuiga ama kitu pekee ambacho Shetani amekivumbua kwa akili yake chafu ni Uovu tuu peke yake!!

Mengine yote akifanya anafanya kumuiga Mungu!
Kama ni Maandiko anayajua sana pengine kuliko wanadamu wengi waliowahi kuishi!

Angalia alivyokua ananakiri biblia wakati anajaribu Kumdanganya Yesu kule mlimani!!!

Anaqoutw mstari kumbe ameumisquote makusudi ( UONGO HUO)

anatoa tafsiri kumbe ametafsiri Kiuongo makusudi ( UONGO)—- Anamisinterpret verses makusudi!

Ndiyo maana nasema Shetani ni Muongo sana

Hata wewe Mkuu anagalia asikudanganye akakuaminisha kwamba yeye ameshinda Mapigano hayo kiasi kwamba ukamuona hero anaestahili kusifiwa!

“Mamlaka yote Juu Mbinguni na Duniani Nimepewa mimi “ Kristo .
Hapo unaona kabisa Shetani hana Mamlaka Hata Duniani Tena!!

Tayari Ibilisi Hana Mamlaka Yoyote!
Ni Loser!
Ibilisi ni Loser!! The biggest Deceiver Has Lost it all linahangaika tuu!
Mpingeni!

Shetani ni wa kawaida Mno sasa ivi hana ishu anawakamata Wasiojielewa tuu!

Kwanza ni Kiumbe!
Sasa Kiumbe anamshindaje Aliyemuumba!

Kama ni Miscalculation mbaya kuwahi kutokea basi ni ya Shetani kutaka kuwa Mungu hadi akaanzisha vita ambayo kwa ujinga wake alidhani angeshinda!
Matokeo yake Akatupwa chini kutoka Sehemu ambayo alikua na Mungu—-satans first trouble

Then likadhania litatawala dunia, Yesu akaja!

Shetani akaplan kumuua akidhani atashinda kumbe wapi!! Likatumika kutimiza matwaka ya Mungu ya ukombozi wetu!!

Jamaa ana hasira hadi bible imeandika kiasi cha hasira yake!!
Ana hasira because ashajua sasa Fate yake ni ipi Si alijitia Ubabe akajiona Kama Mungu!
Sasa hakujua atakuwa handled vipi hatimaye!
Ikafunuliwa Kwamba wewe Mahali pako ni Katika ziwa la Moto!

Kati ya Kiumbe chenye mwisho mbaya basi ni Shetani!!
 
Kwanza hajatawala ulimwengu wa Nuru na hawezi ,yeye ni wa Gizani!

Pili ,ulimwengu wa roho unajulikana labda wewe mkuu ndo hujaujua,Fanya juu chini uujue!

Tatu ,silaha tunazo ,soma vizuri biblia silaha zipo nyingi sana za kumuangamiza mbona,Mungu ametupa,ila sisi ndo hatujui kuzitumia!

NNE ni kweli km mwanadamu huwezi,ndo maana neno linasema,...mkaribieni Mungu nae atawakaribia ndipo mmpinge shetani nae atawakimbia...
Kwahiyo hakuna mwanadamu yyt mwenye nguvu ,uwezo wa kumpinga shetani bila kwenda kwa Mungu kwanza akapewa nguvu na maarifa ya namna ya kumshinda shetani!wengi wanafanya vita mwilini bila kujua,wakati neno limesema.... Vita vyetu si juu ya damu na nyama.....
Kwa kifupi umpokee Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yako kwanza !

Tano,Mikael na jeshi lake hawakushinda kwa ushindi mwembamba km unavyodhani, walishinda kwa kishindo kwa damu ya mwanakondoo! (Ya Yesu,Mungu mwenyewe)hapo ndo shetani alipochemka!
Ndo maana mpk leo bado anahangaika kutoa kafara za damu za wanyama,watu nk...

Niishie hapa kwa leo...
Amina
 
Mkuu
Shetani kuwawin hao watu uliowataja kuanzia na Adam siyo kumuwin Mungu!

Ukizungumzia vita hii kati ya Shetani na Mungu , God is the winner and the controller

Lakini Vita ya Shetani na sisi binadamu ibilisi ni mshindi!
That’s why Mungu alitoa Kafara Ili sisi tukombolewe kutoka kwenye yake ibilisi na sasa hivi tuko Huru!

Mambo ya Ukombozi kupitia kafara yana mwanzo kutoka kwa Mungu Mwenyewe na hii pia Shetani amekopi!!
Vijana wake na all of his followers anawadanganya hadi kufikia point ya kuua!!

Kwa hiyo Shetani ni Copist ( Copycat) mzuri tuu!

Kitu ambacho Shetani hajawahi kuiga ama kitu pekee ambacho Shetani amekivumbua kwa akili yake chafu ni Uovu tuu peke yake!!

Mengine yote akifanya anafanya kumuiga Mungu!
Kama ni Maandiko anayajua sana pengine kuliko wanadamu wengi waliowahi kuishi!

Angalia alivyokua ananakiri biblia wakati anajaribu Kumdanganya Yesu kule mlimani!!!

Anaqoutw mstari kumbe ameumisquote makusudi ( UONGO HUO)

anatoa tafsiri kumbe ametafsiri Kiuongo makusudi ( UONGO)—- Anamisinterpret verses makusudi!

Ndiyo maana nasema Shetani ni Muongo sana

Hata wewe Mkuu anagalia asikudanganye akakuaminisha kwamba yeye ameshinda Mapigano hayo kiasi kwamba ukamuona hero anaestahili kusifiwa!

“Mamlaka yote Juu Mbinguni na Duniani Nimepewa mimi “ Kristo .
Hapo unaona kabisa Shetani hana Mamlaka Hata Duniani Tena!!

Tayari Ibilisi Hana Mamlaka Yoyote!
Ni Loser!
Ibilisi ni Loser!! The biggest Deceiver Has Lost it all linahangaika tuu!
Mpingeni!

Shetani ni wa kawaida Mno sasa ivi hana ishu anawakamata Wasiojielewa tuu!

Kwanza ni Kiumbe!
Sasa Kiumbe anamshindaje Aliyemuumba!

Kama ni Miscalculation mbaya kuwahi kutokea basi ni ya Shetani kutaka kuwa Mungu hadi akaanzisha vita ambayo kwa ujinga wake alidhani angeshinda!
Matokeo yake Akatupwa chini kutoka Sehemu ambayo alikua na Mungu—-satans first trouble

Then likadhania litatawala dunia, Yesu akaja!

Shetani akaplan kumuua akidhani atashinda kumbe wapi!! Likatumika kutimiza matwaka ya Mungu ya ukombozi wetu!!

Jamaa ana hasira hadi bible imeandika kiasi cha hasira yake!!
Ana hasira because ashajua sasa Fate yake ni ipi Si alijitia Ubabe akajiona Kama Mungu!
Sasa hakujua atakuwa handled vipi hatimaye!
Ikafunuliwa Kwamba wewe Mahali pako ni Katika ziwa la Moto!

Kati ya Kiumbe chenye mwisho mbaya basi ni Shetani!!
Asante kwa ufafanuzi mzuri sana, Mungu akubariki.
 
Hakuna hko kitu na wala hakijawai tokea....ni illusion tuu..,.kama unaijua science vzur na ulimwengu na unaamin yupo aliyeumba vyote hvyo..basi hakina kiumbe chochote ambacho si Mungu kinauwezo wa kuoambana na Mungu unlesa shetan awe naye ni mungu.

Mwenye nguv sawa na Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shetani hamiliki jeshi la Mbinguni mkuu,God controls it,that is one.Two, ni kweli Shetani ana nguvu,but only if you have not received Jesus Christ as your personal saviour.Three, despite what you see happening in the World, God is in control of it all.Lastly, God will destroy Satan at the end of time with all his followers.
Why not destroy him now..kama kwel yupo..maana watu wake viumbe vyake vimeshaonyesha kushindwa kabisa...

Na tunapoelekea ndo kabisaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada shetani pia ni mtoto wa Mungu!!! kwanza mwenzenu aliishi mbinguni hakuna wa kumtisha!! mitaa yote anaijua kule!!! anapiga story na Mungu tu km ivi! si unakumbuka pale Bustanini waliongea?? sasa leo nani anapiga story na Mungu?

Mungu ni Mungu tu ana yake kichwani anaweza pitish msamaha wa jumla na bado shetani akapeta milele tu! si mwanae???!....mbona sasa hamuangamizi? unaju kwa nini........ni mwanae kamuumba kwa gharama kubwa sana!
Hahahha..akijibu nitag

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Why not destroy him now..kama kwel yupo..maana watu wake viumbe vyake vimeshaonyesha kushindwa kabisa...

Na tunapoelekea ndo kabisaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
We ni nani hadi utusemee sisi tulio wake Mungu ambao hatujawahi kushindwa?

Siku ukijajua kuwa uwezo wake shetani ni sawa na 0.0001% ukilinganisha na uwezo wa Mungu utajilaumu sana kwanini ulikuwa unachelewa kuupokea wokovu ukiendelea kushupaza shingo huko upotevuni?
 
We ni nani hadi utusemee sisi tulip wake Mungu ambao hatujawahi kushindwa?

Siku ukijajua kuwa uwezo wake shetani ni sawa na 0.0001% ukilinganisha na uwezo wa Mungu utajilaumu sana kwanini ulikuwa unachelewa kuupokea wokovu ukiendelea kushupaza shingo huko upotevuni?
Jidanganye hvo hvo....Mungu aliamua kumtuma mwanae pekee kutoka mbingun kuja dunian kwenye taka taka zotee shetan akamuu msalaban kwa kushawish wanadamu ikabid afufuke awaachie kaz hyo ya kupambana na shetan wanadamu had leo mapambano ni makal..halaf unasema nguv ya shetan ni 0.0001...walokole buana..sjui nan anawatoaga akil nyie

Shetan kauharibu ulimwengu huu for milions of years halaf unasema ana nguvu almost negligible???una akil kwel mlokole...

Heb use ua mind and logic bas...na hapa utasema ooh mambo ya mungu huwez tafsir kwa akil ya mwanadamu..sawa mlokole..lakin huyo mungu ndie kakupa akil na kakuumba kwa mfano wake...hebu eliminiken..ila sio kosa lenu...nyie mmekua mtaj wa corporate and corrupt word...bila watu avarage thinkng dunia hii inakua si nzur kwa mamlaka.so watatumia njia yoyote ku penetrate hyo loophole..sorry brother...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Why not destroy him now..kama kwel yupo..maana watu wake viumbe vyake vimeshaonyesha kushindwa kabisa...

Na tunapoelekea ndo kabisaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
No Mungu hajatuacha bila msaada mkuu there is help.Ametoa mfumo,ambao ukiufuata you can be assured of victory over Satan.What is it:accept Jesus Christ as your personal savior,after which you will receive the Holy Spirit and you are assured of victory over Satan,it is that simple.

Kwa nini asim-malizie Shetani once and for all?Mungu wetu sio dictator mkuu,hataki kukulazimisha kumpenda,he wants you to have a choice.

Even though kwa kuwa wewe ni kiumbe chake,if you make a bad choice,ipo adhabu,and that is eternal hell.So please make the right choice,and remember time if fast running out and the door will be closed and once closed it will not be open.
 
Back
Top Bottom