Shetani ana uwezo mkubwa sana

Hakuna sababu ya kubishana.Tusubiri,muda ndio utakuwa mwamuzi.

Ngoja nitakuletea jinsi Yesu mwenyewe alivyotanzua hiki kitendawili cha kurudi kwake mara ya pili, nitafafanua kulingana na kauli yake kutoka.ndani ya Bible.

Be patient.
 
Ngoja nitakuletea jinsi Yesu mwenyewe alivyotanzua hiki kitendawili cha kurudi kwake mara ya pili, nitafafanua kulingana na kauli yake kutoka.ndani ya Bible.

Be patient.
Wala sina haja,nime-isoma Biblia najua na naelewa ninachokiamini,siwezi kufundishwa na mtu asiyemuamini Yesu Kristo.Huna haki ya kumtangaza Yesu Kristo kwa kuwa humuamini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom