Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,641
Ashukuriwe Mungu aliye juu, tukiwa kwenye wiki takatifu, wiki ya kufufuka kwa mkombozi wa ulimwengu YESU KRISTO hatimaye shetani ameaibika tena baada ya maombi ya kumwombea mtumishi wa Mungu Rose Muhando
Shukrani ziwaende watumishi wa Mungu Kenya waliojitoa kwa hali na mali kuhakikisha Rose anakuwa salama
Baada ya miezi kadhaa sasa umerudi kuwa vema
Ushauri kwa Rose kaa mbali na mafisi yanayokutamani kwani wewe umebeba maono ya watu wengi kupitia uimbaji wako.
Niwatakie wiki njema ya kwaresma kuelekea kufufuka kwa KRISTO