Shetani ameshindwa tena, Rose Muhando amepona

Eti baada ya maombezi,
Maombezi yenu ya kitapeli yaliishia kumdharilisha mdada wa watu na sifa zenu za kusakia tonge,
Dada kakimbilia hospitali kapona unaanza porojo
Nyoosha sentesi,sema baada ya maombi ya matapeli kushindwa Rose aponea hospitali,
Hii itafanya mbumbumbu wa imani na watapeliwa waelewe kwa nini wakatoliki wanaamini Mungu huponya kupitia dawa ndo maana wanajenga hospitali bora

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ashukuriwe Mungu aliye juu, tukiwa kwenye wiki takatifu, wiki ya kufufuka kwa mkombozi wa ulimwengu YESU KRISTO hatimaye shetani ameaibika tena baada ya maombi ya kumwombea mtumishi wa Mungu Rose Muhando

Shukrani ziwaende watumishi wa Mungu Kenya waliojitoa kwa hali na mali kuhakikisha Rose anakuwa salama
Baada ya miezi kadhaa sasa umerudi kuwa vema

Ushauri kwa Rose kaa mbali na mafisi yanayokutamani kwani wewe umebeba maono ya watu wengi kupitia uimbaji wako.

Niwatakie wiki njema ya kwaresma kuelekea kufufuka kwa KRISTO
Anatumia sasa ipasavyo dawa za ARV

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom