Shetani ameshindwa tena, Rose Muhando amepona

Angalau ungeweka na picha ili kuisapoti post yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo hapo kapendeza
IMG-20190415-WA0005.jpeg
IMG-20190415-WA0004.jpeg
 
Kupitia majaribu na changamoto ndipo tunajifunza na kuimarika zaidi
Tuendelee kuombeana
Dah afadhali ikiwezekana akae nao mbali waliomsababishia matatizo hayo na Mungu amlinde na kumuongeza katika njia njema siku zote za maisha yake.
 
Ashukuriwe Mungu aliye juu, tukiwa kwenye wiki takatifu, wiki ya kufufuka kwa mkombozi wa ulimwengu YESU KRISTO hatimaye shetani ameaibika tena baada ya maombi ya kumwombea mtumishi wa Mungu Rose Muhando

Shukrani ziwaende watumishi wa Mungu Kenya waliojitoa kwa hali na mali kuhakikisha Rose anakuwa salama
Baada ya miezi kadhaa sasa umerudi kuwa vema

Ushauri kwa Rose kaa mbali na mafisi yanayokutamani kwani wewe umebeba maono ya watu wengi kupitia uimbaji wako.

Niwatakie wiki njema ya kwaresma kuelekea kufufuka kwa KRISTO
Acha uongo wewe
Rose alilazwa hospitali na kaponea hospitali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom