Shetani ameshindwa tena, Rose Muhando amepona

Victor wa happy

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
11,660
11,641
Ashukuriwe Mungu aliye juu, tukiwa kwenye wiki takatifu, wiki ya kufufuka kwa mkombozi wa ulimwengu YESU KRISTO hatimaye shetani ameaibika tena baada ya maombi ya kumwombea mtumishi wa Mungu Rose Muhando

Shukrani ziwaende watumishi wa Mungu Kenya waliojitoa kwa hali na mali kuhakikisha Rose anakuwa salama
Baada ya miezi kadhaa sasa umerudi kuwa vema

Ushauri kwa Rose kaa mbali na mafisi yanayokutamani kwani wewe umebeba maono ya watu wengi kupitia uimbaji wako.

Niwatakie wiki njema ya kwaresma kuelekea kufufuka kwa KRISTO
 
Ashukuriwe Mungu aliye juu, tukiwa kwenye wiki takatifu, wiki ya kufufuka kwa mkombozi wa ulimwengu YESU KRISTO hatimaye shetani ameaibika tena baada ya maombi ya kumwombea mtumishi wa Mungu rose muhando

Shukrani ziwaende watumishi wa Mungu kenya waliojitoa kwa hali na mali kuhakikisha rose anakuwa salama
Baada ya miezi kadhaa sasa umerudi kuwa vema

Ushauri kwa rose kaa mbali na mafisi yanayokutamani kwani wewe umebeba maono ya watu wengi kupitia uimbaji wako.

Yaani hamna hata supporting evidence hata moja..!!!
 
Huyu shetani kila kitu anasingiziwa yeye, yaani mtu abwie maunga yake lawama apewe shetani hii ni hatari
 
Ashukuriwe Mungu aliye juu, tukiwa kwenye wiki takatifu, wiki ya kufufuka kwa mkombozi wa ulimwengu YESU KRISTO hatimaye shetani ameaibika tena baada ya maombi ya kumwombea mtumishi wa Mungu rose muhando

Shukrani ziwaende watumishi wa Mungu kenya waliojitoa kwa hali na mali kuhakikisha rose anakuwa salama
Baada ya miezi kadhaa sasa umerudi kuwa vema

Ushauri kwa rose kaa mbali na mafisi yanayokutamani kwani wewe umebeba maono ya watu wengi kupitia uimbaji wako.

Niwatakie wiki njema ya kwaresma kuelekea kufufuka kwa KRISTO
aminaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Dah afadhali ikiwezekana akae nao mbali waliomsababishia matatizo hayo na Mungu amlinde na kumuongeza katika njia njema siku zote za maisha yake.
 
Ashukuriwe Mungu aliye juu, tukiwa kwenye wiki takatifu, wiki ya kufufuka kwa mkombozi wa ulimwengu YESU KRISTO hatimaye shetani ameaibika tena baada ya maombi ya kumwombea mtumishi wa Mungu rose muhando

Shukrani ziwaende watumishi wa Mungu kenya waliojitoa kwa hali na mali kuhakikisha rose anakuwa salama
Baada ya miezi kadhaa sasa umerudi kuwa vema

Ushauri kwa rose kaa mbali na mafisi yanayokutamani kwani wewe umebeba maono ya watu wengi kupitia uimbaji wako.

Niwatakie wiki njema ya kwaresma kuelekea kufufuka kwa KRISTO
Karanga hizo wewe!C Yesu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwa nini mnapenda kumsingizia shetani kwa ujinga wa mtu mwenyewe?
 
Ashukuriwe Mungu aliye juu, tukiwa kwenye wiki takatifu, wiki ya kufufuka kwa mkombozi wa ulimwengu YESU KRISTO hatimaye shetani ameaibika tena baada ya maombi ya kumwombea mtumishi wa Mungu rose muhando

Shukrani ziwaende watumishi wa Mungu kenya waliojitoa kwa hali na mali kuhakikisha rose anakuwa salama
Baada ya miezi kadhaa sasa umerudi kuwa vema

Ushauri kwa rose kaa mbali na mafisi yanayokutamani kwani wewe umebeba maono ya watu wengi kupitia uimbaji wako.

Niwatakie wiki njema ya kwaresma kuelekea kufufuka kwa KRISTO
Amepona mapepo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom