Duuuh, hauwez samehewa mkuu kwa hayo mema maana unakuwa umehisafisha!???Hapo kuna mawili
Utabarikiwa kwa ule moyo wa kutoa
Kisha utahukumiwa kwa kile ulichokitoa... Hili huja baadae
Huko kwingine hakuna maisha ama kuna maisha mengine tofauti na hayaKwa uelewa wako kuhusu huyu shetani na mungu. Unaweza kujua/kufahamu, kwanini mungu alimfukuza tu na hakumuangamiza kabisa?! Na ni kwanini mungu alijua sisi binadamu tutaishi duniani naye akamfukuzia shetani humu duniani?! Kisayansi tunaambiwa kuna sayari nyiingi na galaxies nyiingi, kwanini asingempeleka shetani huko jupiter au neptune au hata nje ya milky way kabisa?!
Hivyo mungu alitaka shetani aishi?! Ikiwa ndivyo, sasa bifu lake na shetani la nini,si angemwacha tu na yeye aishi freely. Make mi mwanzo nilidhani mungu hampendi shetani na nilijiuliza kwanini hakumuua/kumuangamiza alipokosea badala yake aka mfukuzia humu duniani, akijua nasisi tutaishi humu. Hii imekaa kama siasa, chama tawala kinataka kipendwe na mpinzani achukiwe. Kwanini shetani apigwe vita, kama hakutakiwa?! si angeuwawa tangu mwanzo, kwanini aliachwaa aishi na tena nyumba moja nawateule wa mungu.Huko kwingine hakuna maisha ama kuna maisha mengine tofauti na haya
Shetani sio visible identity... Shetani ni roho ni nishati (energy) kumbuka energy can neither created no destroyed...!!!Hivyo mungu alitaka shetani aishi?! Ikiwa ndivyo, sasa bifu lake na shetani la nini,si angemwacha tu na yeye aishi freely. Make mi mwanzo nilidhani mungu hampendi shetani na nilijiuliza kwanini hakumuua/kumuangamiza alipokosea badala yake aka mfukuzia humu duniani, akijua nasisi tutaishi humu. Hii imekaa kama siasa, chama tawala kinataka kipendwe na mpinzani achukiwe. Kwanini shetani apigwe vita, kama hakutakiwa?! si angeuwawa tangu mwanzo, kwanini aliachwaa aishi na tena nyumba moja nawateule wa mungu.
Mhmm, shetani ni roho. Nasi tuna roho. Hii nikusema hata malaika ni roho. Mbona kuna watu hudai na kuthibisha kutokewa na malaika. Kama roho ni invisible wao uwaona vipi?!Shetani sio visible identity... Shetani ni roho ni nishati (energy) kumbuka energy can neither created no destroyed...!!!
Malaika pia ni total soul ndio maana huwezi kumvika jinsia na huwezi kumuona kama tunavyoonana the same applies to devil... Sisi ni roho katika mwili uharibukao yaani tuko visible lakini roho zetu hazionekani na tukifa tunakufa mwili sio roho ndio maana kuna dhana ya kufufuliwa katika wafuMhmm, shetani ni roho. Nasi tuna roho. Hii nikusema hata malaika ni roho. Mbona kuna watu hudai na kuthibisha kutokewa na malaika. Kama roho ni invisible wao uwaona vipi?!
Je nasi hatutakuwa destroyed hata wakati wa kiama?! So uoga wa nini?!
Lakini mbona hii, inapingana na andiko lako la shetani kufanya mapenzi na malauka?!Malaika pia ni total soul ndio maana huwezi kumvika jinsia na huwezi kumuona kama tunavyoonana the same applies to devil... Sisi ni roho katika mwili uharibukao yaani tuko visible lakini roho zetu hazionekani na tukifa tunakufa mwili sio roho ndio maana kuna dhana ya kufufuliwa katika wafu
Umenisoma vizuri hapa.? Nimesema huwezi kumvika umbo... Na kule nimesema wanavaa umbo.... Yaani sisi hatuna uwezo huo lakini wao wana huo uwezo... Naamini umenielewa hapaLakini mbona hii, inapingana na andiko lako la shetani kufanya mapenzi na malauka?!
Roho hazionekani jinsi gani shetani na malaika hukutana na kufanya mapenzi?! Au mwanadamu na shetani kufanya mapenzi?! Au shetani na malaika ni dhana za kufikirika tu.
Ahaa okay , poa mkuu nimekuelewaUmenisoma vizuri hapa.? Nimesema huwezi kumvika umbo... Na kule nimesema wanavaa umbo.... Yaani sisi hatuna uwezo huo lakini wao wana huo uwezo... Naamini umenielewa hapa