tejateja
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 1,626
- 979
Ukweli Kama huu watu wengi hawataki kuuelewa.
Ukweli Kama huu watu wengi hawataki kuuelewa.
Ni kwa Neematu, na sio kitu cha kujigamba kuwa mimi ninayafanya yote yanipasayo kuyafanya. Mara nyingine tunaanguka pasipo sisi wenyewe kujuaMada yako hii
Mleta mada umetoa fundisho zuri, tatizo lako umeijumuisha mada yako kama vile watu wote ni vuguvugu, yaani wanamfuata Mungu kidogo na Shetani kidogo
Ungesema "baadhi yetu"
Siyo kila mtu yupo kwenye hali hiyo,
Wako watu ni wafuasi wa shetani na hawamtaki Mungu kabisa na wana imani za Kishetani
Wako pia hao vuguvugu
Tena wapo Watu Wanafanya mapenzi ya Mungu na hawana nia ovu moyoni mwao.
Mleta mada umeonyesha kama watu woote ni wanafiki jambo ambalo sio kweli.
Nadhani unawajua mashoga, magaidi, ma satanist nk.
Pia unawajua wanafiki wa dini
Tena unawajua manabii, mitume, nk.
Sema baadhi ya binadamu ni ndumilakuwili na sio watu wote.
Asante kwa angalizo nimekupata vema... Nia ilikuwa hiyo japo kwenye andishi sikuiwekaMada yako hii
Mleta mada umetoa fundisho zuri, tatizo lako umeijumuisha mada yako kama vile watu wote ni vuguvugu, yaani wanamfuata Mungu kidogo na Shetani kidogo
Ungesema "baadhi yetu"
Siyo kila mtu yupo kwenye hali hiyo,
Wako watu ni wafuasi wa shetani na hawamtaki Mungu kabisa na wana imani za Kishetani
Wako pia hao vuguvugu
Tena wapo Watu Wanafanya mapenzi ya Mungu na hawana nia ovu moyoni mwao.
Mleta mada umeonyesha kama watu woote ni wanafiki jambo ambalo sio kweli.
Nadhani unawajua mashoga, magaidi, ma satanist nk.
Pia unawajua wanafiki wa dini
Tena unawajua manabii, mitume, nk.
Sema baadhi ya binadamu ni ndumilakuwili na sio watu wote.
So does that mean evil exist in human nature itself.That all these years we are fighting our nature? And 'compromising with the devil' is nothing but finding justification in whatever bad we do.later,realizing what we have done we blame it to, no,not ourselves,to 'Satan'.The times when you want to grant satisfaction to self desires like adultery thieving lying etc
So does that mean evil exist in human nature itself.That all these years we are fighting our nature? And 'compromising with the devil' is nothing but finding justification in whatever bad we do.later,realizing what we have done we blame it to, no,not ourselves,to 'Satan'.

Samahani kukuuliza hili mbingunikwetu,Ila tokea umekuwa kiumbe kipya haujafanya dhambi?"Kwa shatani kidogo kwa Mungu kidogo na hayo ndiyo maisha yetu' Hapo Mshana Jr siyo kweli! Usiseme hayo ndiyo maisha yetu, sema hayo ndiyo maisha yako! Shetani amekudanganya na umedanganyika na kujipa moyo kuwa watu wrote wanafanya machafu ya shetani!
Japo wapo watu kama wewe wenye urafiki na matendo machafu ya kishetani, lakini wapo watu wengine wengi tu nikiwamo Mimi ambao tulifika mahali tukasema hapana kwa shetani na ndiyo kwa Mungu. Hii inatokea ukiamua kumwamini Yesu na kutubu dhambi zako. Ukifanya hivyo Mungu anakusamehe dhambi zako halafu anakuzaa Mara ya pili na unakuwa kiumbe kipya! Ukifanya hivyo unakuwa umeokoka!
Anachokisema mshana kinamhusu ambaye hajaokoka lakini akadai anamchukia shetani, hilo haliwezekani! Nje ya wokovu MTU hana uwezo wa kumpinga wala kumchukia shetani kwa dhati maana anakuwa bado ni mtumwa shetani.
Ushauri wangu kwa Mshana na wengine wote wenye mawazo kama yake ni kuwa:
1. Kama wanahitaji kwa dhati kuondokana na hali ya unafiki wa MTU kupenda mambo machafu ya kishetani huku akijifanya hampendi shetani ni kwamba wamwamini Yesu na kumkaribisha katika mioyo yao kama Bwana na mwokozi wa maisha yao. Hiyo inafanyika kwa kutubu dhambi zao na kuomba sala ya toba.
2. Sala ya toba wanayopaswa kuomba ni hii: "Bwana Yesu naja kwako, Mimi ni mwenye dhambi, ninaomba unisamehe dhambi zangu zote, ninazozikumbuka na ambazo sizikumbuki. Karibu Yesu katika moyo wangu uwe Bwana na Mwokozi wangu. Asante Yesu kwa kunisamehe na kuniokoa. Ninakushukuru Mungu katika jina la Yesu-Amina!
3. Kama umeomba sala hiyo hapo juu kwa moyo wa dhati umeokoka! Kw sasa una uwezo wa kumpinga shetani na akakimbia! Kwa sasa unaweza kuziambia tamaa za mwili kuwa wewe ni mtakatifu na zikakaa kimya! Sauti yako sasa INA mamlaka! Unauwezo WS kuiambia dhambi hapana na ikatii! Nami nakuombea sala ifuatayo: "Bwana Yesu katika jina lako takatifu naomba umpokee ndugu huyu ambaye ametubu kwa dhati mbele yako. Mwoshe kwa damu yako ya thamani. Umlinde na yule mwovu na umpe ushindi juu ya dhambi. MPE furaha na amani katika moyo wake, na umlinde na umponye dhidi ya magonjwa ypte. Nsomba Haya katika jina la Yesu -Amina.
4. Tafuta watu wsliookoka wanaoamini katika utakatifu na ushindi juu ya dhambi watakusaidia zaidi.
Samahani kukuuliza hili mbingunikwetu,Ila tokea umekuwa kiumbe kipya haujafanya dhambi?
Hichi ndicho alichokiongea mshana,uokoke usiokoke dhambi wote tunafanya.Tofauti iliyopo,aliyeokoka atakiri dhambi na kuomba msamaha na nakuendelea mbele.Na ambaye hajaokoka au mdhambi yeye sanasana amekata tamaa kuomba msamaha Maana anaona dhambi anarudia kufanya Basi bora yawe maisha yake.
Kwa maana nyingine kufanya dhambi ndio huko kidogo kwa shetani kidogo kwa Mungu.Na ndio maisha ya mwanadamu.Na ndio vita yetu ya kila siku.Kuna siku tunashinda na kuna siku tunashindwa.Hakuna aliye msafi.

La muhimu hapa kwanza ni kuijua KWELI na kuyaongeza maarifa, hapo ndiko utakapojua wewe ni wa moto ama baridi au vuguvugu, kuna watu tutaangamia kwa kutoyajua tu maarifa, na kweli.Mada yako hii
Mleta mada umetoa fundisho zuri, tatizo lako umeijumuisha mada yako kama vile watu wote ni vuguvugu, yaani wanamfuata Mungu kidogo na Shetani kidogo
Ungesema "baadhi yetu"
Siyo kila mtu yupo kwenye hali hiyo,
Wako watu ni wafuasi wa shetani na hawamtaki Mungu kabisa na wana imani za Kishetani
Wako pia hao vuguvugu
Tena wapo Watu Wanafanya mapenzi ya Mungu na hawana nia ovu moyoni mwao.
Mleta mada umeonyesha kama watu woote ni wanafiki jambo ambalo sio kweli.
Nadhani unawajua mashoga, magaidi, ma satanist nk.
Pia unawajua wanafiki wa dini
Tena unawajua manabii, mitume, nk.
Sema baadhi ya binadamu ni ndumilakuwili na sio watu wote.
MmmhLa muhimu hapa kwanza ni kuijua KWELI na kitaongeza maarifa, hapo ndiko utakapojua wewe ni wa moto ama baridi au vuguvugu, kuna watu tutaangamia kwa kutoyajua tu maarifa, ni nini maana yake hapa?
Maarifa juu ya kweli hawana, hivyo wanapenda kinyume na kweli na kikorea pasi kujijua.

Nimeirekebisha.Mmmh![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sasa dhumuni lako ndugu ni nini haswa? Unataka shetani aonekane ni mzury au vp maana kiumbe kilicholaaniwa basi hata chembe ya uzury hawezi kua nayo hata kuweza kumpa thamani sawa na kibawa cha mbu!! Hakuna namna yyte yakumsafisha kiumbe kilicholaaniwa hata ufanyaje na sidhani kama utakua sawa kujaribu hata chembe kuubadilisha ukweli kua sawa!! Hayo ndo mani yangu!!!.Binadamu ni kiumbe hai wa namna ya pekee kabisa anayeweza kusema kwa nguvu zote kuwa hii ni nyeupe lakini moyoni mwake akiwa haamini hivyo au akiwa na ukweli tofauti.
Wote tunamjua sana shetani dubwana linalotisha na hata tunapomchora mawazoni na hata kwenye makaratasi ni kitu cha kuogofya kutisha na kuogopwa lakini huu ni unafiki mkubwa wa kiumbe mwanadamu kwakuwa shetani ni nzuri shetani anavutia shetani anaheshimiwa shetani ni maarufu shetani anasujudiwa mno.
Na kwakuwa shetani anayatambua yote haya ndio maana hana pressure na wewe anakuacha ufanye unafiki wako anajua kwa hakika kwake utarejea likitokea jambo tusilolipenda kabisa toka rohoni mwetu huwa na kwa maslahi yetu ambayo saa nyingine ni ya kujikweza humbomoa shetani hasa na kupambana naye kwa nguvu zote! Tukimseta kumlaani kwa kadiri ya pumzi zetu yeye hukaa kimya na kutabasamu.
Lakini likitokea jambo ambalo tunalipenda lakini ni naya hasa la kutosheleza tamaa na matamanio ya kimwili shetani huwa rafiki mwema na tuko tayari kufanya naye colabo bila kujua kuwa ni maagano hapa hupambani tena na shetani bali mnacompromise.Kichefuchefu cha undumilakuwili wa mwanadamu.
Unaingia nyumba ya ibada kwa imani yako ukiwa na matatizo lukuki Hapa unaenda kuomba msaada wa Mola wako ukifanikiwa unaenda kufanya uchafu huku ukiomba mambo yasije kuharibika... Mungu anakutizamana tu huku shetani akitabasamu kwa pozi.
Mwanadamu ni kiumbe dhaifu asiye na msimamo thabiti atumikiaye nguvu mbili kwa mara moja na wakati wote kwa shetani kidogo kwa Mungu kidogo na hayo ndio maisha yetu mpaka tunakufa na unafiki wote huku tukimpa shetani ushindi mkubwa.
Tatizo lako ndugu mshana unapenda kuamini kile ulichokiamini pasipo kutaka kuaminisha wale unaotaka kuwaamisha kua hizi ni fact za uhakika.sawa watu huamini kua shetani ni dubwana lakutisha sasa ww unatoa wapi prouv kua shetani sio dubwana lakutisha maana kitu kilicholaaniwa maana yake matendo yake makazi yake mpaka maumbo yake na vizazi vyake vimelaaniwa na laana kikawaida mfano mzazi akimpa mtoto wake radhi au laana basi unaona kabisa athary kwa yule kiumbe kinavyokua anakua atachanganyikiwa mwisho anakua chizi kabisaa wa majalalali sasa sijui prouv zako unazitoleaga wapi ndugu!!!.Unajua huwa tunafikiri shetani ni dude linalotisha Sana Halafu Mungu ni mtu fulani mbabe sana hapa ndipo tunapokosea kwasababu tunaishi kwa mazoea na mapokeo hebu ona hiiView attachment 280735kuna wakati shetani hujitokeza hata kwa umbo la malaika alimradi tu akunase
Sasa dhumuni lako ndugu ni nini haswa? Unataka shetani aonekane ni mzury au vp maana kiumbe kilicholaaniwa basi hata chembe ya uzury hawezi kua nayo hata kuweza kumpa thamani sawa na kibawa cha mbu!! Hakuna namna yyte yakumsafisha kiumbe kilicholaaniwa hata ufanyaje na sidhani kama utakua sawa kujaribu hata chembe kuubadilisha ukweli kua sawa!! Hayo ndo mani yangu!!!.
tundu007 nilichogundua kuna mengi bado huyafahamu vema ama una uelewa mdogo ndani yake Tatizo lako ndugu mshana unapenda kuamini kile ulichokiamini pasipo kutaka kuaminisha wale unaotaka kuwaamisha kua hizi ni fact za uhakika.sawa watu huamini kua shetani ni dubwana lakutisha sasa ww unatoa wapi prouv kua shetani sio dubwana lakutisha maana kitu kilicholaaniwa maana yake matendo yake makazi yake mpaka maumbo yake na vizazi vyake vimelaaniwa na laana kikawaida mfano mzazi akimpa mtoto wake radhi au laana basi unaona kabisa athary kwa yule kiumbe kinavyokua anakua atachanganyikiwa mwisho anakua chizi kabisaa wa majalalali sasa sijui prouv zako unazitoleaga wapi ndugu!!!.
Uzury wako unajua kuyapangilia maneno kwahilo nakusifu!! Sema jambo lolote kuhusu kiumbe kilicho laaniwa hakiwezi kua kizury abdan asilaan!hata tukipambe vp!! Amfwatae shetani na yy atakwenda nae!na amfwatae muumba nae atakwenda kwa muumba!! Hakuna mjadala!![]()
![]()
tundu007 nilichogundua kuna mengi bado huyafahamu vema ama una uelewa mdogo ndani yake
Kwenye hii mada naona kabisa umetoka nje ya mada na kujichanganya kabisa... Nafahamu hatuwezi kufanana mitazamo lakini kwenye kila hoja lazima tu establish hoja zenye mantiki na kujadilika
Kumbuka we are part n parcel of great thinkers
Ukisoma tena kwa makini nilichoandika utaona namzungumzia shetani katika muktadha ganiUzury wako unajua kuyapangilia maneno kwahilo nakusifu!! Sema jambo lolote kuhusu kiumbe kilicho laaniwa hakiwezi kua kizury abdan asilaan!hata tukipambe vp!! Amfwatae shetani na yy atakwenda nae!na amfwatae muumba nae atakwenda kwa muumba!! Hakuna mjadala!
Hahaaa aiseee halaf unaenda na kutoa sadaka kanisani na misaada kibao kwa yatima na wasiojiweza!Shetani kaja na rumbesa uache?
Si kuna nafasi ya kuungama baadae??