Sheria zinasemaje ukimtia mimba mwanafunzi wa Advance level ( kidato cha tano au sita)

Sheria inasema ukimtia mimba mwanafunzi Haijataja ni primary,secondary au Advance utahukumiwa kwenda jera si chini ya miaka 30 na zaidi,sheria utakayohukumiwa nayo hapo ni ile sheria ya kujihusisha mapenzi na msichana aliye chini ya umri wa miaka 18(child Abuse) kwa msemo mwingine sheria ya unyanyasi wa kingono juu ya watoto /ubakaji.

Swali langu: Je sheria inasemaje endapo ukimpa mimba mwanafunzi wa A level/Advance (form five au six)? Kwa sababu

--kwa mlolongo wa mtaala wa Elimu yetu mwanafunzi anaesoma mpaka kufika Advance level anakuwa tayari ametimiza ule umri wa miaka 18±, na Katiba/sheria zetu za nchi zinamtambua mtu huyo kama tayari ameshakuwa mtu mzima.

Cc Zero IQ.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria ya Elimu itakutia hatiani mkuu.Subiri amalize ukamtie hiyo mimba yako chuo kikuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheria inasema ukimtia mimba mwanafunzi Haijataja ni primary,secondary au Advance utahukumiwa kwenda jera si chini ya miaka 30 na zaidi,sheria utakayohukumiwa nayo hapo ni ile sheria ya kujihusisha mapenzi na msichana aliye chini ya umri wa miaka 18(child Abuse) kwa msemo mwingine sheria ya unyanyasi wa kingono juu ya watoto /ubakaji.

Swali langu: Je sheria inasemaje endapo ukimpa mimba mwanafunzi wa A level/Advance (form five au six)? Kwa sababu

--kwa mlolongo wa mtaala wa Elimu yetu mwanafunzi anaesoma mpaka kufika Advance level anakuwa tayari ametimiza ule umri wa miaka 18±, na Katiba/sheria zetu za nchi zinamtambua mtu huyo kama tayari ameshakuwa mtu mzima.

Cc Zero IQ.

Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka 20 kwa sababu ni mwanafunzi
Miaka 30 mingine kama ni under 18
 
Kama sheria ina tundu we tundika

Miaka 300 jela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi sitaki hiyo ya kumalizana kitaa nataka nijue kwa mujibu wa sheria inakuaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipaata kumsikia mwanasheria mmoja akielezea kuwa licha ya sheria za nchi kuruhusu msichana wa miaka 14 kuolewa, mwanafunzi hulindwa na sheria ya elimu.

Mimi si learned brother though!

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Hata km hamna sheria inayohusu mwanafunzi kupata mimba lkn utapatikana na kosa la kumkatisha masomo binti, hata kama ana miaka zaidi ya 18. Umemharibia future. Kwa iyo bdo utakuwa na kosa tuu.
Kwa iyo usilete ubishi, yamalizeni peacefully tuu.
Kwahyo hilo kosa adhabu yake miaka mingapi labda?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa akili yako nilivyo isoma....

Ukija Ifunda wewe utakufa..

Ifunda Girls.... Tech.

Watoto wanajielewa mpaka mwisho wa dunia.
 
Umeuliza swali zuri. Ni bahati mbaya hadi sasa hatujapata majibu sahihi ya kisheria tumebaki kukanyagana tu kwa kutoa majibu mepesi sisi wenyewe ma laymen.
mAjibu mshayapata.... Sema ninyi mnataka kuhalalisha upumbavu.

Tunakwambia sasa... Mwanafunzi anabaki kuwa mwanafunzi. Awe tu kwenye mfumo rasmi.

Hatutarajii mtu mwenye miaka 26 awe kwenye mfumo rasmi. Huyo atakuwa ni Private Candidate...
 
Anaweza kua alichelewa kuanza shule lakin
 
Back
Top Bottom