Sheria zinasemaje ukimtia mimba mwanafunzi wa Advance level ( kidato cha tano au sita)

Kama sheria imeanisha miaka,kwamba aliechini ya miaka 18,nadhani above huo umri hakuna shida
 
Hii mada inanihusu sababu mwaka 2014 nilimjaza bint wa kidato Cha tano mimba ila familia yake ilinitafuta tuyaweke sawa nikawakwepa hadi alipo jifungua na baada wenzake kumaliza kidato cha sita nikawahuru kwenda kwao kumuona mtoto baada ya hapo nikawa nahudumia mtoto na yule bint alifanya mtihani wa kidato cha sita akafaulu na sasa yupo mwaka watatu UDSM, kwa hiyo ilo suala inategemea pia na familia yao

#bamia_ndefunene
 
2014 kidato cha tano Leo mwaka Wa tatu udsm... Chai ya wapi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom