Sheria zinasemaje ukimtia mimba mwanafunzi wa Advance level ( kidato cha tano au sita)

Mhh utakuwa ushaharibu wewe, hapo sheria inakuwa imeshahama toka serikalini kwenda kwenye mikono ya baba wa msichana uliyemharibu. RIP mkuu
 
Hata km hamna sheria inayohusu mwanafunzi kupata mimba lkn utapatikana na kosa la kumkatisha masomo binti, hata kama ana miaka zaidi ya 18. Umemharibia future. Kwa iyo bdo utakuwa na kosa tuu.
Kwa iyo usilete ubishi, yamalizeni peacefully tuu.
Nani anafanya huo utabiri kuwa ukimkatisha masomi ndio umemujaribia future?? Akija kuwa tajiri baadae je??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiyo sheria haitaji umri,bali inamzungumzia mtu yeyote ambae ni mwanafunzi hata kama ana miaka 30!Hiyo sheria ilitungwa kulinda wanafunzi
Wanafunzi wapo wengi mkuu, kumbuka kuna wanaosoma veta, madrasa, chuo, tena ni watu wazima hapo inakuaje kwa mujibu wa sheria ya jamhuri?

Maendeleo hayana chama
 
Sheria inasema ukimtia mimba mwanafunzi Haijataja ni primary,secondary au Advance utahukumiwa kwenda jera si chini ya miaka 30 na zaidi,sheria utakayohukumiwa nayo hapo ni ile sheria ya kujihusisha mapenzi na msichana aliye chini ya umri wa miaka 18(child Abuse) kwa msemo mwingine sheria ya unyanyasi wa kingono juu ya watoto /ubakaji.

Swali langu: Je sheria inasemaje endapo ukimpa mimba mwanafunzi wa A level/Advance (form five au six)? Kwa sababu

--kwa mlolongo wa mtaala wa Elimu yetu mwanafunzi anaesoma mpaka kufika Advance level anakuwa tayari ametimiza ule umri wa miaka 18±, na Katiba/sheria zetu za nchi zinamtambua mtu huyo kama tayari ameshakuwa mtu mzima.

Cc Zero IQ.

Sent using Jamii Forums mobile app
We Malaya ushaharibu huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheria ni kama msumeno ndiyo maana inavipengele na vifungu vya kunukuu....

Kwanza utahukumiwa kwa kutembea na binti chini ya miaka 18...

Kama amevuka ila ni mwanafunzi sheria itenda mbali kwa kukuhukumu kwa kumlaghai, hatimae kufanya nae ngono kupelekea kumpa mimba ambayo itamkatishia haki yake kama mwanafunzi ya kuendelea na masomo...

Cc: mahondaw
 
Umesoma between the line mkuu kwenye Uzi wangu Katiba inasema Above 18+ Jamhuri inamtambua kama mtu mzima. je utawezaje kumrubuni mtu mzima na kumpa ujauzito pasipo yeye mwenyewe kujua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesoma between the line mkuu kwenye Uzi wangu Katiba inasema Above 18+ Jamhuri inamtambua kama mtu mzima. je utawezaje kumrubuni mtu mzima na kumpa ujauzito pasipo yeye mwenyewe kujua?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sheria ya makosa ya kujaamiana... inamapungufu, inahitaji marekebisho...

Kwanza haimwajibishi mtoto kike kabisa na kifungo, ni mwanaume tuu...

Cc: mahondaw
 
Mkuu swali ulilouliza ni la msingi sana ila mpaka sasa sijaona jibu la kisheria lililotolewa hapa zaidi watu wanatoa maoni yao binafsi,nakushauri kama kuna hwezekano ungepeleka jukwaa la sheria utapata majibu sahihi huko

Back
Top Bottom