Think Hard
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 318
- 303
SHERIA ZA KUVAA SUTI:
1. Usikimbie hovyo.
2. Usinyoe kiduku
3. Usitembee kwa mguu mda mrefu labda mita 2
4. Usipande toyo baskeli au fuso hata kama ni lifti.
5. Usibebe malboro ni brief case tu.
6. Usile ovyo ovyo barabarani sana sana maindi ya kuchoma au mihogo.
7. Usivae suti na ndala au yebo yebo au raba. Labda all star nyeusi tu.
8. Marufuku kutembea haraka haraka kama masai alotumwa apeleke rungu mahali.
9. Marufuku kugombana na kondakta kisa anataka kukutapeli shilingi mia dai kwanzia mia tatu.
10. Ukitembea weka mkono mmoja mfukoni.
11. Usiongee ovyo ovyo.
12. Jitahidi kukaa mbele ukipanda dala dala.
13. Usivae suruali ya suti mlege ni kinyaa.
14. Kama unatembeaga kama unapanda mlima sku iyo jitahidi kunyooka then dunda kidogo.
15. Ukikutana na rafiki zako umezoea kuwapa tano siku hiyo shake hands.
16. Ukivaa suti hakikisha unanukia.
17. Ukikaa mahali popote hakikisha unakunja nne.
18. Usivae vitu kama culture au mipete isiyoeleweka kama umeoa vaa ya ndoa tu kama bado kaa ivyo ivyo.
19. Ni laana kuuliza mtu barabarani ni saa ngapi vaa saa tena ya mshale. Mkonyezo ni mwiko.
20. Ukikaa hotel ukaagiza kinywaji ni marufuku kunywa na chupa.
21. Usivae koti la suti ambalo halijachanwa nyuma litakua ni mfuko wa mashine sio suti.
22. Usivae mkanda wenye bakoli yenye bomu sjui bunduki au fuvu au picha ya obama vaa mkanda wa kawaida unaoeleweka na sio wa begi.
23. Usikumbatie watu unaowafaham ovyo just shake hands just that.
24. Kama una matege usivae mnyonyo.
25. Kama unakitambi usifunge koti utaonekana kama furushi la bangi.
26. Kata kucha nyoa ndevu. B smart.