Nakopesha kwa wale wenye wake wazuri tu, wengine waende banknamba tano india nimeipenda ningekuwa nawakopesha watu wengi sana
ila namba moja ya singapore imenichekesha sana
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Usikute bei ya sahani moja ya chakula ni sawa na sahani kumi. Kwa mfanyabiashara lazima ilione hilo na kulitafutia ufumbuziya Denmark imekaa vizuri .hivi kwa sisi wapenda kula ingekua bongo wamiliki wa mgawa wangefilisika haha.haha unakula kuku mpaka bata aone wivu
Tz. CCM ikishindwa lazima uchaguzi ulikuwa na kasoro, ufutwe na kurudiwa mwingine.Na Tanzania kuna sheria gani!?
Jiangalie unavoongea, sio kila kitu lazima uchangie. Mbona husemi mlivyowafanyia kina Ulimboka na Mwangosi... and so many others..Tanzania ni marufuku kuikosoa, kuishauri ama kuisema CHADEMA ukifanya hivyo adhabu yake ni matusi ya nguoni.....
Wezi wanaokamatwa ni watendaji wadogo wanaopewa maagizo na wanasiasa ila wahusika wenyewe wanaotuma meseji za maagizo ya kifisadi wanachaguliwa kuwa mawaziriTz. CCM ikishindwa lazima uchaguzi ulikuwa na kasoro, ufutwe na kurudiwa mwingine.
Wezi wa mabilioni hawafungwi bali huombwa kurudisha walichoiba tena bila riba
Tatizo lenu mnadhani kuwa kila anayeikosoa CHADEMA au kutoa ushauri na CCM.....THINK BIG.....Jiangalie unavoongea, sio kila kitu lazima uchangie. Mbona husemi mlivyowafanyia kina Ulimboka na Mwangosi... and so many others..
Jiheshimu
Namba3 ingekuhusu mkuunamba tano india nimeipenda ningekuwa nawakopesha watu wengi sana
ila namba moja ya singapore imenichekesha sana
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]