MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,591
ongezea, kosoa au boresha chochote katka hizi chache, Ongezea yoyote.....
1:SINGAPORE
ni marufuku kutafuna Big G au Jojo (ie Chewing Gums) ukibainika faini hadi $1000, itumike kwa sababu za kitabibu tu. Pia hairuhusiwi kutema mate chini ovyo. Ukifanya hivyo mara tatu utatakiwakuvaa bango limeandikwa mimi ni mtema mate ovyo huku unafanya usafi mitaani.
2DENMARK
Huruhusiwi kulipia chakula kwenye mgahawa hadi ushibe. vinginevyo endelea kuagiza hadi ushibe
3:UGIRIKI
Polisi wanaruhusiwa kumkamata mtu yoyote anayetuhumiwa kuwa na HIV, Wanaweza kukupima HIV kwa lazima na ikiwezekana kukutenga kutoka nyumbani kwako.
4:UFILIPINO NA VATICAN
Ni kinyume na sheria kutoa taraka.
5:INDIA
kuna baadhi ya sehemu kama mwanaume anadaiwa, anamtoa mke wake hadi deni litakapoisha ndio anamchukua.
6:HONG KONG
mwanamke anaruhusiwa kumuua mume wake akimkamata anacheat/au akigundua anamchepuko. Ila anapaswa kufanya hivyo kw kutumia mikono yake bila silaha.
7:VICTORIA, AUSTRALIA
ni kinyume cha sheria kubadili taa/bulb kama sio fundi umeme
8:LEBANON
Kama ukikutwa unafanya mapenzi na mnyama yeyote mwenye jinsia ya Kiume ni kufungo cha maisha. Ila sheria yao haisemi chochote kuhusu mnyama wa kike.
9:BANGLADESH
Kama ni mwanafunzi na una umri zaidi ya miaka 15, ukikamatwa unaangalizia unaweza kufungwa jela.
10:TANZANIA
Sheria ya kupambana na kuzuia rushwA 2007, bila kujali ni kiasi gani ukibainika ni faini isiyozidi mil1 au kifungo kisichozidi miaka miwili huku wakijua kabisa hakuna mtoa rushwa ambaye atashindwa kuwa na chini ya million moja. Neno AU linampa nguvu hakimu kuchagua faini. Pamoja na ushauri Wa mkuu Wa PCCB aliyeondoka kifungu liongezewe makali danadana zimekuwa vikiendelea. Tunapenda tunachokichukia.