chodotio richie
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 214
- 86
Naaminii kunaa katibuuu. Na kama wabunge yupoo mgombeaa mwenzaa bar kwa namnaa fulan alikarbiaa kuraa za kipindii hkoo angepewaa kushikaa hatamu mkuu. Hizi pesaa in nyingii zinapoteaa bilaa hayaa na uwogaa na wakatii tz INA matatzo mengii hataa elaa ya kuajirii vijanaa inakosekanaa znapelekwaa hukoo kugharamiaaa huu ujinga Wa wanaojiuzuluuWAzo zuri; lakini unafanyaje kuhusu kumpata mtu mwingine kuchukua nafasi ya yule aliyejiuzulu? au unapendekeza watu wasiwe na wawakilishi kwa vile mtu kajiuzulu.