Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Sheria ya uchaguzi inakataza recount of votes katika kifungu cha 80(4) Isomeni vizuri....Isipokuwa kama kuna malalamiko ya wakala au mgombea wakati wa kuhesabu kituoni.
Hivyo, basi kifungu tajwa kilikiukwa kwenye majimbo yote waliyorudia kuhesabu kura zote. Sheria inaruhusu maboksi ya kile kituo kama yalikuwepo malalamiko wakati wa kuhesabu kituoni siyo kupinga matokeo yote.
Makamanda nionavyo chaguzi zote walizoshinda ccm kwa kuhesabu kura zote kwa minajili ya kupinga matokeo yote na bila ya kuwepo wenyewe wakati zinahesabiwa basi matokeo hayo mapya yatatenguliwa na mahakama na hivyo kuiamuru NEC kuheshimu matokeo ya awali.