MtazamoWangu
JF-Expert Member
- Apr 25, 2009
- 313
- 7
WADAU KUNA MJADALA UNAENDELEA KUHUSU SHERIA MPYA ZA MAWASILIANO YA SIMU NA POSTA...KAMA KUNA MDAU MWENYE DETAILS ZA MUSWAADA ATUPATIE....NIMEPATA VIPENGELE VIWILI AMBAVYO VIMEKUWA MOTO KATIKA MSWAADA HUO....
26-(3) Every licensee shall within three years from the commencement of this Act and in accordance with requirements of the Capital Stock MArket and Securities Act, be required to list local shares with the stock market.
debate iliyopo ni kwamba kwanini local shareholders walazimishwe wakalist shares zao kwenye soko la hisa na mitaji bila consent yao???
-(4) In disposing of lical shares listed or registered with the stock market, the licensee shall sell the local shares to the Tanzanians in accordance with the procedures presribed in the regulations.
hapa ndio kazi maana mtu kama Rostam Aziz atakufa na mtu...
kwenye kipengere cha kuregister simu ndio kuna madudu mengi sana, nitajitahidi nikipata muswada ni uweke hapa...ila kuna sehemu moja
"89. Any subscriber who sells his mobile telephone to to other subscriber shall report change of ownership of the mobile telephone"
kwa uzoefu wetu sijui....mana hapa magari tu tunauzuian juu kwa juu..na hata ukienda kijijini ukiamua umpe zawadi babu yake ile simu yako inabidi uje utoe taarifa.....
huu muswaada bado unajadiliwa na kamati ya wabunge mpaka sasa....na waziri katika kujibu mapendekezo ya wadau, anakubaliana na sheria hiyo kama ilivyo....
nawakilisha....