Sheria Mkononi

Kaiba nini? Anaweza kusingiziwa pia? Sura yake haifanani na mwizi.
 
Huyu ni handsome, wenyewe wanakuwaga wamepinda hadi sura. Lakini kaiba nini?
 
Wakati wakifanya tukio huwa wanajifanya wajanja sana hao..Ngoja washikwe aaahhhh...utawaonea huruma.
 
sas kama tukiwapeleka kwa kova! kidogo unamuona anadundika mtaani! huku anakupa na mikwara juu! si bora tumalize kazi tu tujue moja! police hawaaminikia ajuizi!
 
Mimi nina hasira nao sana kuna mmoja namwinda huwa anakaa mtaa wa mrogogoro kwenye junction ya kwenda regency hospital. Alinikwanyulia side mirror wakati najiandaa kuingia morogoro road kutokea regency. Kibaya zaidi huyu teja ni mnyarwanda anaitwa Andakize nimeshamfuatilia sana huwa napishana nae ila ipo siku nitamtia mikonononi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…