Kuna KlabunIliyowahi Kufuzu Next Stage Ikiwa na Game Mkononi?

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,250
15,116
Kuna timu inajikongoja kila mashindano.

Leo.imefunzwa namna ya kifuzu kibabe, kufuzu kibabe ni kufuzu ukiwa umebakiza mechi moja mkononi.

Hii rekodi inashikiriwa na wanajangwani pekee.

Vunjeni kama nyie vidume.

Halafu tunaenda kutinga nusu kibabe huku mkiishia robo (kama ilivyo kawaida yenu).
 
Back
Top Bottom