kissa anyigulile
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 1,550
- 1,733
Ndio shida ya Islamist badala ya kujenga mabarabara na Shule wao hung'ang'ania mambo ya kipuuziWadau, hivi karibuni Taliban wameweka sheria Kali kwa wanaume.
Hawaruhusiwi kunyoa ndevu.
Sasa namna gani kwetu sisi Mayakhe ambao hatujajaaaliwa ndevu? Nchi hiyo tutaishije? Twaruhusiwa kuweka za bandia atiii?
Nimekua Muislam muumini kwa takribani miaka 40 sasa sijawahipo kusikia wala kusoma Aya ya Quran au Khadith ya Mtukifu wa Daraja, Bwana Mtume Mohammad S.A.W ikilazimisha jambo lolote bali kupinga kulazimisha.Ndio shida ya Islamist badala ya kujenga mabarabara na Shule wao hung'ang'ania mambo ya kipuuzi
Uko kwenye Quran. Labda wewe hujui kuisoma.Nimekua Muislam muumini kwa takribani miaka 40 sasa sijawahipo kusikia wala kusoma Aya ya Quran au Khadith ya Mtukifu wa Daraja, Bwana Mtume Mohammad S.A.W ikilazimisha jambo lolote bali kupinga kulazimisha.
Huu uislamu wao wanautoa wapi?
Waulize wao basi wakupe japo Khadith dhaifu inayosibitisha madai Yao...Uko kwenye Quran. Labda wewe hujui kuisoma.
Ukumbuke Quran imeandikwa kiarabu, wale ni waarabu wanaielewa kuliko nyie waarabu kuja.
Hivyo wanachokifundisha Taliban ni 100% islam, purely islamic. Hakuna wanapokosea.
Ningekuwa wewe, kwaza ningemuomba mleta uzi athibitishe ukweli wa alichokileta hapa jukwaani!Nimekua Muislam muumini kwa takribani miaka 40 sasa sijawahipo kusikia wala kusoma Aya ya Quran au Khadith ya Mtukifu wa Daraja, Bwana Mtume Mohammad S.A.W ikilazimisha jambo lolote bali kupinga kulazimisha.
Huu uislamu wao wanautoa wapi?
Hata mimi nashangaa.Huu uislamu wao wanautoa wapi
Umeangukia pua ndugu, umri wako wote huo upo 0 yaani ZERO (kwa sauti ya magufuli) kwenye huo uumini wako, huo Uislamu wako umeutoa wapi!Nimekua Muislam muumini kwa takribani miaka 40 sasa sijawahipo kusikia wala kusoma Aya ya Quran au Khadith ya Mtukifu wa Daraja, Bwana Mtume Mohammad S.A.W ikilazimisha jambo lolote bali kupinga kulazimisha.
Huu uislamu wao wanautoa wapi?
Hao uislam ni sehemu yao ya maisha acha wewe uliekuja kukalirishwa huku Afrika.Waulize wao basi wakupe japo Khadith dhaifu inayosibitisha madai Yao...
Wastaarabu wa kikafiri ajenda kubwa kwao ni kuwafanya wanaume wawe makhanithi.Wadau, hivi karibuni Taliban wameweka sheria Kali kwa wanaume.
Hawaruhusiwi kunyoa ndevu.
Sasa namna gani kwetu sisi Mayakhe ambao hatujajaaaliwa ndevu? Nchi hiyo tutaishije? Twaruhusiwa kuweka za bandia atiii?
Tangu lini Afghanistan wakawa waarabu?yaani jitu halina hata civilization wala exposure linakuja kuropoka ropoka international stuffs hapa,mxiuuuuUko kwenye Quran. Labda wewe hujui kuisoma.
Ukumbuke Quran imeandikwa kiarabu, wale ni waarabu wanaielewa kuliko nyie waarabu kuja.
Hivyo wanachokifundisha Taliban ni 100% islam, purely islamic. Hakuna wanapokosea.
Ndio shida ya Islamist badala ya kujenga mabarabara na Shule wao hung'ang'ania mambo ya kipuuzi