Sheria kali za Ndugu zetu Taliban

Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
3,037
2,000
Nimekua Muislam muumini kwa takribani miaka 40 sasa sijawahipo kusikia wala kusoma Aya ya Quran au Khadith ya Mtukifu wa Daraja, Bwana Mtume Mohammad S.A.W ikilazimisha jambo lolote bali kupinga kulazimisha.

Huu uislamu wao wanautoa wapi?
Uko kwenye Quran. Labda wewe hujui kuisoma.

Ukumbuke Quran imeandikwa kiarabu, wale ni waarabu wanaielewa kuliko nyie waarabu kuja.

Hivyo wanachokifundisha Taliban ni 100% islam, purely islamic. Hakuna wanapokosea.
 
Cherenganya

JF-Expert Member
Jan 21, 2018
2,258
2,000
Uko kwenye Quran. Labda wewe hujui kuisoma.

Ukumbuke Quran imeandikwa kiarabu, wale ni waarabu wanaielewa kuliko nyie waarabu kuja.

Hivyo wanachokifundisha Taliban ni 100% islam, purely islamic. Hakuna wanapokosea.
Waulize wao basi wakupe japo Khadith dhaifu inayosibitisha madai Yao...
 
ID Fake

JF-Expert Member
Aug 9, 2017
347
1,000
Nimekua Muislam muumini kwa takribani miaka 40 sasa sijawahipo kusikia wala kusoma Aya ya Quran au Khadith ya Mtukifu wa Daraja, Bwana Mtume Mohammad S.A.W ikilazimisha jambo lolote bali kupinga kulazimisha.

Huu uislamu wao wanautoa wapi?
Ningekuwa wewe, kwaza ningemuomba mleta uzi athibitishe ukweli wa alichokileta hapa jukwaani!

Tuache ushabiki maandazi!
 
Ngai Moko

JF-Expert Member
Mar 21, 2016
1,110
2,000
Nimekua Muislam muumini kwa takribani miaka 40 sasa sijawahipo kusikia wala kusoma Aya ya Quran au Khadith ya Mtukifu wa Daraja, Bwana Mtume Mohammad S.A.W ikilazimisha jambo lolote bali kupinga kulazimisha.

Huu uislamu wao wanautoa wapi?
Umeangukia pua ndugu, umri wako wote huo upo 0 yaani ZERO (kwa sauti ya magufuli) kwenye huo uumini wako, huo Uislamu wako umeutoa wapi!
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
36,002
2,000
😁😁😁

2945737_Act6cD.jpg
 
Nyonzo bin mvule

JF-Expert Member
Sep 19, 2020
883
1,000
Uzi wako umeuleta kinafki na dhihaka na si kutaka kujua,, anyway ngoja twende hivyo hivyo, ndevu ni maumbile anayoyafanya mungu so kama maumbile mengine wengine wanayo na wengine hawana,, sasa huyo kiongozi akuhukumu ww kisa tu huna ndevu kwa mapenzi ya mungu hili si kweli,,, lkn pia hadithi hizi za ndevu ni propaganda za kimagharibi
 
Abuu hanifa

Member
Aug 17, 2021
44
125
Wadau, hivi karibuni Taliban wameweka sheria Kali kwa wanaume.
Hawaruhusiwi kunyoa ndevu.
Sasa namna gani kwetu sisi Mayakhe ambao hatujajaaaliwa ndevu? Nchi hiyo tutaishije? Twaruhusiwa kuweka za bandia atiii?
Wastaarabu wa kikafiri ajenda kubwa kwao ni kuwafanya wanaume wawe makhanithi.

Kuna carton imetoka inayohamasisha mapemzi ya jinsia moja.

Makuzi ya utamaduni gani ndugu yetu ungependa mtoto wako akuzwe nao.

Huu unaolazimishwa wanaume wajihisi kufuga ndevu ni jambo la kawaida?!?!

Au kuwa na Uhuru pasi na kulazomiswa utakaopelekea mtoto wako kujifunza mapenzi ya jinsi moja kuwa ni jambo la kawaida
 
albuluushiy

JF-Expert Member
Oct 2, 2013
1,377
2,000
Uko kwenye Quran. Labda wewe hujui kuisoma.

Ukumbuke Quran imeandikwa kiarabu, wale ni waarabu wanaielewa kuliko nyie waarabu kuja.

Hivyo wanachokifundisha Taliban ni 100% islam, purely islamic. Hakuna wanapokosea.
Tangu lini Afghanistan wakawa waarabu?yaani jitu halina hata civilization wala exposure linakuja kuropoka ropoka international stuffs hapa,mxiuuuu
 
Abuu hanifa

Member
Aug 17, 2021
44
125
Ndio shida ya Islamist badala ya kujenga mabarabara na Shule wao hung'ang'ania mambo ya kipuuzi

Mbona mipango ya kujenga mashule na mabarabara upo baada ya wamarekani kuyabomoa.....

Punguza chuki na mihemko.

Ndefu ni alama muhimu sana ktk dhana ya utawala. Utawala wowote unaoegemea ukiristo ulitaka watumishi wa serikali kinyoa ndevu, watalaban ambao mfumo wao unaegemea uislam wanataka wanaume wote wasinyoe ndevu.

Na sababu kubwa ya tofauti hizi ni kwa mfumo wa Uislam huchanganya kati ya kaisari na mungu.

Wakati ukristo unataka ya kaisari mwachie kaisari na ya mungu mwachie mungu
 
GIRITA

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
3,027
2,000
Taliban kama wanataka ndevu watu wafuge tu..mbona nyie watumishi wa serikali mnakwangua kidevu mpaka vipele vinatoa machozi...nyie mliwafuata wazungu na wao wanafuata sharia..ila sio lazima katika uislamu kuwa na ndevu maana kuna viumbe hawakujaaliwa ndevu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom