Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 391
- 873
Ifike muda serikali ianze ku enforce sheria zetu za ukatili dhidi ya wanyama jamani.
Hawa punda wanaonewa sana na wanakuwa abused mpaka too much yaani.
Kwanza wadogo na wanabebeshwa mizigo utadhani wana uzito wa tembo, wanapigwa, wanafungwa kamba kwa mvua inawanyeshewa, yaani hata ng'ombe wa maasai na wasukuma hawawanyanyasi hivi maybe kwa sababu ng'ombe hawawezi beba mizigo ivi ila hawa wanaonewa sana hadi huruma.
Jaman sisi tuna sheria kali dhidi ya wanyama hata kwa wale wanaoliwa hawatakiwi kuuliwa kikatili, bali kiistaarabu. Ipo siku na hawa punda wataanzisha migomo.