Fyong'oxi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 266
- 72
Tatizo la waislamu watataka walitafsiri hilo kosa pamoja na hukumu kwa mujibu wa vitabu vyao na sio sheria za nchi! Ikumbukwe pia vibaka na waporaji hawakosikani kwenye jamii yetu ,watakuwa walitumia mwanya huo huo kutekeleza malengo yao .Hakuna sheria ya nchi au dini itakayokuwa inabariki mtu kuidhalilisha dini nyingine, na hakuna pia sheria ya dini inayoelekeza kufanya wizi uharibifu wa mali za taasisi au mtu mwingine..heshima yangu kwa jf inazidi kuongezeka kwa mambo kama haya.
kwa maana hiyo aliyekojolea msaafu ametenda kosa lakini na waliovunja makanisa na magari wana mashitaka ya kujibu pia lakini tofauti ni kuwa mmoja ana miaka 12 lakini wengine ni >18. Sasa napata picha