Sheria inasemaje endapo nimemkopesha mtu pesa bila maandishi

Mpaka hapo ulipo nadhani una ushahidi wa msg kama huna naribu kutuma msg ajibu ionekane unamdai, piga simu ukizungumzia deni lenu huku ukimrekodi huo utakuwa ushahidi tosha, shida anaweza kukubali ila akawa anakupa elfu 60 kila mwezi.
Asante sana kwa ushauri mkuu,
 
Mrejesho ni kwamba, tulipelekana police baada ya kufika Hapo jamaa akawekwa ndani kwa masaa 3 then akaomba aje tuongee ndipo akakiri kuwa namdai na akaahidi kulipa Tsh 60,000 kwa mwezi.

Asanteni sana kwa ushauri wenu
 
Mkuu yule ni kijana mdgo sana, tumesoma wote darasa moja

Kama atanizungua zaidi mipango yangu ni kuchukua kifaa cha inchi kali na kufanya namna afu natoweka kbsa naenda kuanza upya
Sasa huo utakuwa ni ujanja au ujinga?!!labda kama na wewe unaenda kuamza upya mbinguni sawa, lakini kama utabakia hapa duniani, na ukakamatwa utajiona bonge la mjinga!!kwani ni kufia jela tu
 
Umenikumbusha 2015 kuna jamaa alinifata niwekeze kwenye biashara yake kwa kua yy mtaji wake umekata nikaweka kama 1ml hivi yy akaondoka kwel biashara ilisimama vizuri sana mtaj ukafika mpaka 5ml jamaa akarud kukuta ofisi imenona jamaa akaniambia anataka ofis yake na mzigo uliomo ofisin ni wake nilitaman nimchinje hadharan kama ningekua na bastora ningeua pale pale na mm ningejiua naenda polisi polis wananiuliza unamaandishi nikajibu sina mzee mmoja polis akanishauri mwanangu jamaa kakuzid akil chakufanya kuwa mpole akugawie mtaji kidogo ukaanze maisha upya na kwel alinipa kama ml 2 Lakin nilicho mfanya mpaka akiniona ananiamkia alikuja home kwa magoti mpaka leo tunaheshimiana chakufanya kuwa mpole tu huna ujanja Fanya revenge tu
Nielekeze kwa mtaalam aisee
 
Habarini wanafamilia, kuna jirani yangu nilimkopesha pesa kiasi cha sh 550,000 bila maandishi kwani hata yeye huwa ananikopesha pasipo na maandishi.

Ipo hivi kuna siku alimtuma mdogo wake aje kwangu kukopa hela sh 550,000 kwani huwa ni kawaida kumtuma mdgo wake huyo( tupo jirani kwenye eneo la biashara)

Kesho yake nikapita kazini kwake ili kujua kama pesa ile ana taarfa nayo, alikiri kwamba ana taarfa nayo na nikamwambia kuwa kuna namba nitakupa utume hiyo pesa kwani yeye huwa anafanya kazi ya uwakala.

Sasa mdgo wake ametoroka na akaiba pesa kwa huyo kaka yake, na kuna wateja wengine 9 Nao walipeleka pesa zao wakaambiwa kuna tatizo kwenye network hvyo waache pesa zao then baadae watawekewa kwenye account zao.

Mteja wa kwanza aliacha 1M, wapili 600K, watatu 450K, na wengne pesa kiasi.

Baada ya tatizo kutokea huyu bwana alikiri kwamba atalipa hizo pesa, Ila ghafla amebadili gia angani anasema kwamba hatolipa hizo pesa kwani hakuna mahali hao watu waliandikisha na akagusa mboni ya jicho langu baada ya kusema hata pesa yangu nayo hakuna mahali tuliandikisha.

Nimekuja hapa kuomba msaada wa kisheria, nifanye Nini ili kupata haki zangu na ukizingatia hatukuandisha mahali popote?

NB: Endapo atanikana kabsa na mimi sina kazi nyingne na sipo tayari kufunga kibiashara changu cha kuuza samaki kisa ukaidi wake, naomba nisema kwamba SITOSITA kufanya revenge Hasa kwa kumpa ulemavu kabsa.

Karbuni wataalamu wa sheria
Mbembeleze akupe ahadi lini atakupa?
Akikubali muombe mkaandikishiane mbele ya mashahidi hiyo tarehe ikifika akulipe ,Hapo utakuwa umepata ushahidi.

Tofauti na hapo ni ngumu,
 
Mkuu jaribu kwenda kuongea nae ukiwa unarekodi
Fanya kama unamuulza awe anakili ulimkooesha na wengine ili kukamilisha ushahidi then uchukue hatua
 
Umenikumbusha 2015 kuna jamaa alinifata niwekeze kwenye biashara yake kwa kua yy mtaji wake umekata nikaweka kama 1ml hivi yy akaondoka kwel biashara ilisimama vizuri sana mtaj ukafika mpaka 5ml jamaa akarud kukuta ofisi imenona jamaa akaniambia anataka ofis yake na mzigo uliomo ofisin ni wake nilitaman nimchinje hadharan kama ningekua na bastora ningeua pale pale na mm ningejiua naenda polisi polis wananiuliza unamaandishi nikajibu sina mzee mmoja polis akanishauri mwanangu jamaa kakuzid akil chakufanya kuwa mpole akugawie mtaji kidogo ukaanze maisha upya na kwel alinipa kama ml 2 Lakin nilicho mfanya mpaka akiniona ananiamkia alikuja home kwa magoti mpaka leo tunaheshimiana chakufanya kuwa mpole tu huna ujanja Fanya revenge tu
Ulimfanya nini mkuu mpaka akuheshimu?!
 
Back
Top Bottom