Sheria inasemaje endapo nimemkopesha mtu pesa bila maandishi

Emmathias

JF-Expert Member
Jan 22, 2018
483
1,000
Habarini wanafamilia, kuna jirani yangu nilimkopesha pesa kiasi cha sh 550,000 bila maandishi kwani hata yeye huwa ananikopesha pasipo na maandishi.

Ipo hivi kuna siku alimtuma mdogo wake aje kwangu kukopa hela sh 550,000 kwani huwa ni kawaida kumtuma mdgo wake huyo( tupo jirani kwenye eneo la biashara)

Kesho yake nikapita kazini kwake ili kujua kama pesa ile ana taarfa nayo, alikiri kwamba ana taarfa nayo na nikamwambia kuwa kuna namba nitakupa utume hiyo pesa kwani yeye huwa anafanya kazi ya uwakala.

Sasa mdgo wake ametoroka na akaiba pesa kwa huyo kaka yake, na kuna wateja wengine 9 Nao walipeleka pesa zao wakaambiwa kuna tatizo kwenye network hvyo waache pesa zao then baadae watawekewa kwenye account zao.

Mteja wa kwanza aliacha 1M, wapili 600K, watatu 450K, na wengne pesa kiasi.

Baada ya tatizo kutokea huyu bwana alikiri kwamba atalipa hizo pesa, Ila ghafla amebadili gia angani anasema kwamba hatolipa hizo pesa kwani hakuna mahali hao watu waliandikisha na akagusa mboni ya jicho langu baada ya kusema hata pesa yangu nayo hakuna mahali tuliandikisha.

Nimekuja hapa kuomba msaada wa kisheria, nifanye Nini ili kupata haki zangu na ukizingatia hatukuandisha mahali popote?

NB: Endapo atanikana kabsa na mimi sina kazi nyingne na sipo tayari kufunga kibiashara changu cha kuuza samaki kisa ukaidi wake, naomba nisema kwamba SITOSITA kufanya revenge Hasa kwa kumpa ulemavu kabsa.

Karbuni wataalamu wa sheria
 
Kijana wa jana

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
11,724
2,000
Kwa namna hiyo sheria inatambua ulimsaidia au nje ya hapo uendelee kumwamini kama ulivyomwamini mwanzo mpaka atakapokuletea kwa uaminifu kama mlivyoaminiana mwanzo.

Kwanza kwa kifupi wewe ndio mtuhumiwa maana hujasajiliwa popote kwamba unatoa mikopo wala wewe sio afisa mikopo.

Pole sana mkuu... Jaribu kuwa mpole umwendee kwa unyenyekevu mkubwa ila akikulipa usije kurudia kosa
 
Joseph lebai

JF-Expert Member
Jul 19, 2017
6,096
2,000
Sheria inasema"mda wa kuroga" , imeandikwa wapi. Ni mamno ya kimyakimya mtu anachanganyikiwa.
 
KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
18,153
2,000
wewe jamaa unapenda kuroga sana inaonesha, hii comments yako ya pili unaongelea kuroga.

Lunatic
Sasa mkuu nani atahakiki hapo Kama sio kirogo tu.. akienda mahakamani watataka ushahidi wa kumkopesha na Hana! Achukue sheria kwa mizimu tu hakuna namna..🤣

Mkuu ni komenti tu sijawahi hata kwenda kuroga mtu ila Kuna mtu nimempenda akiniacha hata yeye anajua hatochukua raundi nitamsema kwa mizimu sitaki kuhangaika mimi na mizimu ipo..😂
 
Emmathias

JF-Expert Member
Jan 22, 2018
483
1,000
Mkuu yule ni kijana mdgo sana, tumesoma wote darasa moja

Kama atanizungua zaidi mipango yangu ni kuchukua kifaa cha inchi kali na kufanya namna afu natoweka kbsa naenda kuanza upya
 
mibiki mitali

Senior Member
Feb 5, 2018
185
500
Habarini wanafamilia, kuna jirani yangu nilimkopesha pesa kiasi cha sh 550,000 bila maandishi kwani hata yeye huwa ananikopesha pasipo na maandishi.

Ipo hivi kuna siku alimtuma mdogo wake aje kwangu kukopa hela sh 550,000 kwani huwa ni kawaida kumtuma mdgo wake huyo( tupo jirani kwenye eneo la biashara)

Kesho yake nikapita kazini kwake ili kujua kama pesa ile ana taarfa nayo, alikiri kwamba ana taarfa nayo na nikamwambia kuwa kuna namba nitakupa utume hiyo pesa kwani yeye huwa anafanya kazi ya uwakala.

Sasa mdgo wake ametoroka na akaiba pesa kwa huyo kaka yake, na kuna wateja wengine 9 Nao walipeleka pesa zao wakaambiwa kuna tatizo kwenye network hvyo waache pesa zao then baadae watawekewa kwenye account zao.

Mteja wa kwanza aliacha 1M, wapili 600K, watatu 450K, na wengne pesa kiasi.

Baada ya tatizo kutokea huyu bwana alikiri kwamba atalipa hizo pesa, Ila ghafla amebadili gia angani anasema kwamba hatolipa hizo pesa kwani hakuna mahali hao watu waliandikisha na akagusa mboni ya jicho langu baada ya kusema hata pesa yangu nayo hakuna mahali tuliandikisha.

Nimekuja hapa kuomba msaada wa kisheria, nifanye Nini ili kupata haki zangu na ukizingatia hatukuandisha mahali popote?

NB: Endapo atanikana kabsa na mimi sina kazi nyingne na sipo tayari kufunga kibiashara changu cha kuuza samaki kisa ukaidi wake, naomba nisema kwamba SITOSITA kufanya revenge Hasa kwa kumpa ulemavu kabsa.

Karbuni wataalamu wa sheria
Una Haki zote za madai halali Kaka. Sheria pia inatambua uwepo wa makubaliano ya mdomo.
 
Eng peter pan

JF-Expert Member
Sep 15, 2021
900

Kitaalamu tunaita IMEKULA KWAKO
 
kajojo

JF-Expert Member
Jun 9, 2012
2,651
2,000
Tafuta namna umrekodi either kwa kumpigia simu au kumfwata direct.
Au hata kwa msg.
Lazima utamkamata tu at some point
 
mtaa umetulea

JF-Expert Member
Nov 17, 2020
1,700
2,000
Umenikumbusha 2015 kuna jamaa alinifata niwekeze kwenye biashara yake kwa kua yy mtaji wake umekata nikaweka kama 1ml hivi yy akaondoka kwel biashara ilisimama vizuri sana mtaj ukafika mpaka 5ml jamaa akarud kukuta ofisi imenona jamaa akaniambia anataka ofis yake na mzigo uliomo ofisin ni wake nilitaman nimchinje hadharan kama ningekua na bastora ningeua pale pale na mm ningejiua naenda polisi polis wananiuliza unamaandishi nikajibu sina mzee mmoja polis akanishauri mwanangu jamaa kakuzid akil chakufanya kuwa mpole akugawie mtaji kidogo ukaanze maisha upya na kwel alinipa kama ml 2 Lakin nilicho mfanya mpaka akiniona ananiamkia alikuja home kwa magoti mpaka leo tunaheshimiana chakufanya kuwa mpole tu huna ujanja Fanya revenge tu
 
makaveli10

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
17,237
2,000
Mpaka hapo ulipo nadhani una ushahidi wa msg kama huna naribu kutuma msg ajibu ionekane unamdai, piga simu ukizungumzia deni lenu huku ukimrekodi huo utakuwa ushahidi tosha, shida anaweza kukubali ila akawa anakupa elfu 60 kila mwezi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom