Emmathias
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 678
- 947
Habarini wanafamilia, kuna jirani yangu nilimkopesha pesa kiasi cha sh 550,000 bila maandishi kwani hata yeye huwa ananikopesha pasipo na maandishi.
Ipo hivi kuna siku alimtuma mdogo wake aje kwangu kukopa hela sh 550,000 kwani huwa ni kawaida kumtuma mdgo wake huyo( tupo jirani kwenye eneo la biashara)
Kesho yake nikapita kazini kwake ili kujua kama pesa ile ana taarfa nayo, alikiri kwamba ana taarfa nayo na nikamwambia kuwa kuna namba nitakupa utume hiyo pesa kwani yeye huwa anafanya kazi ya uwakala.
Sasa mdgo wake ametoroka na akaiba pesa kwa huyo kaka yake, na kuna wateja wengine 9 Nao walipeleka pesa zao wakaambiwa kuna tatizo kwenye network hvyo waache pesa zao then baadae watawekewa kwenye account zao.
Mteja wa kwanza aliacha 1M, wapili 600K, watatu 450K, na wengne pesa kiasi.
Baada ya tatizo kutokea huyu bwana alikiri kwamba atalipa hizo pesa, Ila ghafla amebadili gia angani anasema kwamba hatolipa hizo pesa kwani hakuna mahali hao watu waliandikisha na akagusa mboni ya jicho langu baada ya kusema hata pesa yangu nayo hakuna mahali tuliandikisha.
Nimekuja hapa kuomba msaada wa kisheria, nifanye Nini ili kupata haki zangu na ukizingatia hatukuandisha mahali popote?
NB: Endapo atanikana kabsa na mimi sina kazi nyingne na sipo tayari kufunga kibiashara changu cha kuuza samaki kisa ukaidi wake, naomba nisema kwamba SITOSITA kufanya revenge Hasa kwa kumpa ulemavu kabsa.
Karbuni wataalamu wa sheria