Vipi kuhusu thamani ya shilingi?Ukusanyaji wa mapato ya ndani umeongezeka kutoka wastani wa Shilingi bilioni 390 kwa mwezi mwaka 2010 na kufikia wastani wa Shilingi bilioni 850 kwa mwezi, mwaka 2014/15
mbona ujaelezea matumizi yake yanakwenda wapi? Kama sio kwenye kula na kulipana mishaara?
Hivi wewe una duka alafu unawekeza kidogo unakula sana. Hapo unafanya biashara au unafanya kula?
Umeendika nini sasa
Muda Wa kampeni huongezwa,kumbuka yule makamu Wa rais hayati OMARY Juma,alikuwa mgombea mwenza Wa Rais Mkapa
Uchaguzi unaahirishwa..kwani unagombea...
Hiki kizazi cha Malofa na Wapumbavu kweli kina laana. Mleta mada kauliza vizuri tu tena nahisi ni baada ya mgombea wa jimbo la Lushoto Mohammed Mtoi kufariki kwa ajali usiku wa kuamkia leo. Anataka kufahamu kuna utaratibu upi endapo tukio kama hili linapotokea lkn mnamshambulia kwa kejeli!! Shenzytype
Acha uzumbukuku angalia aliuliza lini na Kamanda wetu alifariki lini au ndo utabiri wa wanaCCM umeamka tu unajibu bila kuangalia...alikuna mguu kabla haujawasha.. kama wewe unavyokuna mguu wakati uliwasha siku tano zilizopita..sasa uchaguwe mie lofa wewe si ni mjinga sio
Lembu unajua nini kuhusu kifo cha kamanda?
Oooh! uzito Kama upi Wakati nimeuliza kwa ngazi ya wagombea uraisIt depend na uzito wa mgombea maana kusitisha kampeni au kulianzisha zoezi upya ni AGHALI MNO ndg ndoto zako zimeona nini kinakuja mbeleni mdau
Ndiyo, pia mgombea mwenzaWajuvi naombeni mwenye uelewa na Mambo hayo atufafanulie!
Je, Ikiwa katika wagombea urais ikatokea kafariki kwa mfano! Ni utaratibu gani utaendelea? je uchaguzi utaahirishwa kwa mda gani?