The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,440
- 13,428
Enzi za Nyerere sijaziishi ila skukuu za kuazinzia awamu wa mwinyi hadi kikwete siku hizi zilikuwa na vurugu nyingi wananchi walistarehe sana.
Kwa mkoa wa Dar mitaa kama Sinza ilikuwa shangwe la hatari, kila rafiki ukimpigia amelewa chakari au wasio tumia kileo yuko mahotel makubwa leo nimehesabu idadi ya marafiki wanaoomba hela walau familia ile pilau tena vipesa vidogo elfu 20, 30 au 50 ni wengi sana.
Hali huko mavijijini na hiyo hiyo Mtwara na mikoa jirani shida (koroshow). Je wanasiasa wetu badala ya kung'ang'ania matakwimu hii hali haiwezi kuwaambia way forward?
Kaini alipomuua mdogo wake Abel, MUNGU akamuuliza ''Kaini ,Abel yuko wapi? '' alijibu ''sijui mimi sio mlinzi wake '' binadamu akikosa upendo hutafuta majibu mepesi ya shida ya mwenzake ,ukiwauliza hivi hamuoni hali ya wananchi imekuwa ngumu? wanakujibu ''Hao walikuwa wapiga deal'' karatu vijijini kulikuwa na wapiga deal, Iringa vijijini je? Mbona nao wanalalamika?
Kuweni na sikukuu njema ya Noel na mwaka mpya.
UJUMBE: Mtanzania yeyote anawajibika juu ya usalama wa mtanzania yeyote, njaa ya jirani yako ni yako, ukishindwa kumsaidia basi walau usimuumize.