Sherehe za Mei Mosi Tanga, JK mgeni rasmi

Jk amekua muwaz sana,nampongeza sana,ingawa mawaziri wake ni vimeo na hawapend kutoa habari au taarifa
Anakumbusha kuwa yeye ndiye aliyeanzisha mtindo wa taarifa hizi kujadiliwa bungeni. Zilikuwa zikiwekwa mezani bila kujadiliwa.
 
JK anatia matumaini sana,

tumuunge mkono waungwana, kuna dalili kuwa wanaompinga JK ni mafisadi na wezi wa mali ya umma
 
Kwa ufasaha mkubwa kabisa, Kikwete amewapasha na kuwapa darsa wanaokurupuka na kurukia jitihada zake wakajifanya kuwa ni hoja zao.

Kawaeleza kinaga ubaga jinsi CAG alivyokuwa akifanya kazi zake na jinsi yeye alivyoshikia bango kubadili huo mfumo. Hakuna utata.

Isitoshe kumbe hata tume za kusimamia wizara, taasisi na idara ilikuwa ni ubunifu wa Kikwete na yeye ndio aliozianzisha.

Mnaokurupuka leo umewashuka!

Muwache ɐʍnpuıdnʞ ubunifu wa Kikwete na kuufanya hoja zenu.
 
Naamini bado Chama tawala hakijui njia ya kutokea. Nahisi ni kiwewe cha utawala. Kila alipo Rais nimekuwa nikiona mavazi ya CCM. Hata kampeni za ukimwi utaona jezi za chama!

Ni kweli kwamba wana-CCM hawajaelimika kiasi hiki, miaka 35 tangu waingie ktk siasa! Hawatofautishi chama na ukimwi, chama na mei-mosi, n.k. shit!

Wengine wanavaa coz hawana nguo, so usiwalaum kwani chama kinawatoa.
 
Kwa ufasaha mkubwa kabisa, Kikwete amewapasha na kuwapa darsa wanaokurupuka na kurukia jitihada zake wakajifanya kuwa ni hoja zao.

Kawaeleza kinaga ubaga jinsi CAG alivyokuwa akifanya kazi zake na jinsi yeye alivyoshikia bango kubadili huo mfumo. Hakuna utata.

Isitoshe kumbe hata tume za kusimamia wizara, taasisi na idara ilikuwa ni ubunifu wa Kikwete na yeye ndio aliozianzisha.

Mnaokurupuka leo umewashuka!

Muwache ɐʍnpuıdnʞ ubunifu wa Kikwete na kuufanya hoja zenu.

Nakuhurumia sana
 
Well said ribosome,

Weingi wanaompinga JK ni wezi wa mali za umma, wanajua jamaa hana utani.

wanakurupuka na hoja zake na kuzifanya zao

Hatari sana hii
 
Kwa ufasaha mkubwa kabisa, Kikwete amewapasha na kuwapa darsa wanaokurupuka na kurukia jitihada zake wakajifanya kuwa ni hoja zao.

Kawaeleza kinaga ubaga jinsi CAG alivyokuwa akifanya kazi zake na jinsi yeye alivyoshikia bango kubadili huo mfumo. Hakuna utata.

Isitoshe kumbe hata tume za kusimamia wizara, taasisi na idara ilikuwa ni ubunifu wa Kikwete na yeye ndio aliozianzisha.

Mnaokurupuka leo umewashuka!

Muwache npudn ubunifu wa Kikwete na kuufanya hoja zenu.

Kaputi iro kabisa,
 
Anakumbusha kuwa yeye ndiye aliyeanzisha mtindo wa taarifa hizi kujadiliwa bungeni. Zilikuwa zikiwekwa mezani bila kujadiliwa.

.
Raia hatuangalii kujadiliwa ama kutojadiliwa. Tunchoangalia ni kwa nini maisha ya mtu wa kawaida yemekuwa rehani wakati huu kuliko wakati wowote wa historia ya mtanzania. Mfumoko wa bei sidhani kama uliwahifika hapa ulipo sasa. Hii ni dalili ya utawala mbovu kuliko uliowahi kuwepo hapa nchini. Na rais wetu ni mtu wa sound tu mpaka hili la kuwawajibisha wazembe anatusoundisha, ooh nita fanya hiki na kile mara nita...hizi ninge... Nita...hazitusaidii chochote. We njoo na kauli ya kiume ya jambo ulilolifanya kunusuru hali mbaya ya maisha ya raia zako.
.
 
Well said ribosome,

Weingi wanaompinga JK ni wezi wa mali za umma, wanajua jamaa hana utani.

wanakurupuka na hoja zake na kuzifanya zao

Hatari sana hii

tatizo ni pale anapowekewa mezani mambo yote,huwa anasita kuwawajibisha watendaji wake
 
Kikwete ni mtu wa kufata sheria na utawala bora, hakurupuki. Wewe umeshaona mwizi kwanini haumshtaki?
 
Kikwete doesnot have spine or guts to bring changes in Tanzania ! He's a mere people's pleaser
 
Back
Top Bottom