quot, "mkwwere ndio kaanza kuongea. Anakiri kwamba serikali inatambua matatizo ya serikali. Anadai mwaka ujao wa fedha imepanga kutumia 48.3% ya pato la ndani kulipa mishahara na posho" unquote.
Jamani tujaribu kuwa wakweli. Kwa nini tumsingizie Rais kwa kuwa na lengo la kutumia asilimia 48.3 kulipa mishahara na posho. Je maendeleo yatapatikanaje kama kiasi kikubwa cha mapato kinaishia kwenye malipo kama hayo wakati wafanyakazi wa umma hawafiki hata nusu milioni? Tujaribu kutoa hoja zenye meshiko