Sherehe za Mei Mosi Tanga, JK mgeni rasmi

Sherehe za Mei Mosi Tanga, JK mgeni rasmi

˙ızɐʍ ɐʍnʞodɐʞɐʇıl ıʞıɹɐɥsɐɯ ɐʞıɹɟɐ ɐl ɐɹıɾɐ ɐl oʞos nuǝz ɐɹıɾɐ ɐsoʞɐʇɯ ɐʞılıpɐqnʞ ıuǝzuɐ 'oʎɐɥ ıuǝɥɔɐʍ

˙ılıp ıu ɐʍnʞǝɯı ızɐʞ ɐlıʞ ˙ıɥsıqn ɐuılɐɥ olıɥ ɐu nqɐɾɐ ɐʍ ızıʍ 'nʌıʌn ɐʎ ɐɥɔıl 'ıuızɐʞɐɯ oɥsıʍɯ ɐʍ nʌıʌɐʍ ıu ıʇɐʞɐʍ ɐʍqnʞıɯ ɐɹɐɥɐɥsıɯ ɐʞɐʇɐuɯ 'ɐuɐs nqɐɾɐ ɐʍ nʇɐʍ ıu ɐıuɐzuɐʇɐʍ
 
Haki na wajibu za wafanyakazi. Anasema wawekezaji wanaajiri watu wa nje kwa vile watanzania hawawajibiki vilivyo
 
Kawakumbuka mabaa medi na wachoma nyama kama ajira....nao waanze kulipa PAY AS YOU EARN
 
Sensa tarehe 26 mwezi wa 12????? JK yuko sahihi kweli???
 
˙ızɐʍ ɐʍnʞodɐʞɐʇıl ıʞıɹɐɥsɐɯ ɐʞıɹɟɐ ɐl ɐɹıɾɐ ɐl oʞos nuǝz ɐɹıɾɐ ɐsoʞɐʇɯ ɐʞılıpɐqnʞ ıuǝzuɐ 'oʎɐɥ ıuǝɥɔɐʍ

˙ılıp ıu ɐʍnʞǝɯı ızɐʞ ɐlıʞ ˙ıɥsıqn ɐuılɐɥ olıɥ ɐu nqɐɾɐ ɐʍ ızıʍ 'nʌıʌn ɐʎ ɐɥɔıl 'ıuızɐʞɐɯ oɥsıʍɯ ɐʍ nʌıʌɐʍ ıu ıʇɐʞɐʍ ɐʍqnʞıɯ ɐɹɐɥɐɥsıɯ ɐʞɐʇɐuɯ 'ɐuɐs nqɐɾɐ ɐʍ nʇɐʍ ıu ɐıuɐzuɐʇɐʍ

Mbona imekaa Upside Down?
 
Anazungumza ripoti ya CAG. Anasema mjadala ulikuwa mkali na mapendekezo kutolewa kurekebisha upungufu ikiwamo mawaziri kuwajibika au kuwajibishwa. Alizushiwa lakini hajakasirika ila anafurahi kuwa inajadiliwa kwa kina. Atatekeleza mapendekezo hayo.
 
Naamini bado Chama tawala hakijui njia ya kutokea. Nahisi ni kiwewe cha utawala. Kila alipo Rais nimekuwa nikiona mavazi ya CCM. Hata kampeni za ukimwi utaona jezi za chama!

Ni kweli kwamba wana-CCM hawajaelimika kiasi hiki, miaka 35 tangu waingie ktk siasa! Hawatofautishi chama na ukimwi, chama na mei-mosi, n.k. shit!

Waonee huruma wenzako hawana mavazi mengine.
 
Anakumbusha kuwa yeye ndiye aliyeanzisha mtindo wa taarifa hizi kujadiliwa bungeni. Zilikuwa zikiwekwa mezani bila kujadiliwa.
 
Jk anajisafisha na kunawa kabisa hata nae analalamika km mimi. CAG apingwi na chombo chochote zaidi ya mahakama kuu.
 
˙ızɐʍ ɐʍnʞodɐʞɐʇıl ıʞıɹɐɥsɐɯ ɐʞıɹɟɐ ɐl ɐɹıɾɐ ɐl oʞos nuǝz ɐɹıɾɐ ɐsoʞɐʇɯ ɐʞılıpɐqnʞ ıuǝzuɐ 'oʎɐɥ ıuǝɥɔɐʍ

˙ılıp ıu ɐʍnʞǝɯı ızɐʞ ɐlıʞ ˙ıɥsıqn ɐuılɐɥ olıɥ ɐu nqɐɾɐ ɐʍ ızıʍ 'nʌıʌn ɐʎ ɐɥɔıl 'ıuızɐʞɐɯ oɥsıʍɯ ɐʍ nʌıʌɐʍ ıu ıʇɐʞɐʍ ɐʍqnʞıɯ ɐɹɐɥɐɥsıɯ ɐʞɐʇɐuɯ 'ɐuɐs nqɐɾɐ ɐʍ nʇɐʍ ıu ɐıuɐzuɐʇɐʍ

Mmmh nadhani hata huko kichwani uko vivyo hivyo kama huu mwandiko
 
CAG akigundua mtu fulani alliba anatakiwa kuchukua hatua mara moja ya kumkabidhi mtu huyo kwa PCCB au polisi!!!
Swali: Kwa nini mawaziri hawakuchukuliwa hatua hizo??!!!
 
JK anaonekana kusononeshwa na ulaji lakini sasa anaishia kutoa maagizo.Futa wafujaji wa mali ya umma.
 
Ni marafiki zetu
CAG akigundua mtu fulani alliba anatakiwa kuchukua hatua mara moja ya kumkabidhi mtu huyo kwa PCCB au polisi!!!
Swali: Kwa nini mawaziri hawakuchukuliwa hatua hizo??!!!
 
hii nchi kila mtu analalamika kuanzia rais,waziri,mbunge,mwananchi sasa nani atatatua matatizo yetu?
 
Hii hotuba mbona haionyeshi kama kuna usukaji wa baraza la mawaziri! Naona kama Rais anasema serikali imejitahidi hata hiyo ya report kujadiliwa hadharani na kwa uwazi ni mafanikio. Mimi najiuliza sasa hayo mafanikio ndio iwe kiama kwa mawaziri waliojadiliwa? Kujadikiwa huko kwa mawaziri na kutakiwa wajiuzulu ni mafanikio tosha!
 
Mambo ya mfanyakazi bora hadi leo yapo?
Enzi zile mfanyakazi bora anapewa radio ya NATIONAL PANASONIC na betri nne.

Mpwa kuna mchawi ka-edit hiyo red na ikawa sem nyeti kabisa, af kajifanya kukosoa typing error, mfundishe adabu
 
CAG akigundua mtu fulani alliba anatakiwa kuchukua hatua mara moja ya kumkabidhi mtu huyo kwa PCCB au polisi!!!
Swali: Kwa nini mawaziri hawakuchukuliwa hatua hizo??!!!

JK kasahau kitu kimoja muhimu sana, kuifanya ofisi ya CAG ijipangie mishahara yenyewe, hii ni ofisi nyeti sana aisee
 
Hyo pccb ya tanzania au ya uk,na hao Polis wa Rwanda?
CAG akigundua mtu fulani alliba anatakiwa kuchukua hatua mara moja ya kumkabidhi mtu huyo kwa PCCB au polisi!!!
Swali: Kwa nini mawaziri hawakuchukuliwa hatua hizo??!!!
 
Back
Top Bottom