Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,438
- 100,717
blaza mgaya kambip jk kwa kusema eti mahusiano ya wafanyakazi na serikali ni ya utata!!!!!!
Atasema amepandisha kwa % kadhaa
Huyo mdau hata kusoma alichoandika mwenyewe inamshinda? au naae kaandikiwa?
Wana bodi,
Kutoka Tanga mjini, response ya wafanyakazi ni Ndogo Mno...pole pole tu tutafika, tutang'oa mzizi wa fitina,huyu Mgeni Rasmi ndo Mwanzo wa kila tatizo linaltukabili kwa Sasa....
Wana bodi,
Kutoka Tanga mjini, response ya wafanyakazi ni Ndogo Mno...pole pole tu tutafika, tutang'oa mzizi wa fitina,huyu Mgeni Rasmi ndo Mwanzo wa kila tatizo linaltukabili kwa Sasa....
Inamaana baba mwanaasha ameshindwa kukodisha malori ya kusomba watu kuwaleta hapo uwanjani?