Arusha Mambo
Senior Member
- Jan 27, 2011
- 174
- 150
siku ya wafanyakazi,bendera za CCM za nini uwanjani? Au kuna chama cha wafanyakazi wa CCM kinawakilisha? Siku ya leo kwa maoni yangu ilitakiwa isiwe na itikadi kwani kuna baadhi ya wafanyakazi ni wanachama wa vyama vingine vya siasa.
Hata blaza nae naona anajilazimisha kucheka tu
kwa hyo mi hainiuxu.!??? sym 2 u, ckkuu njema..
hivi hawa wanaoandamana wote ni wapo tanga kweli au ndio mamluki from Dar?