Sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar zadorora

Sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar zadorora

Uchumi wa kwenye karatasi mkuu, hata ngosha huwa anatuaminisha hivyo kila siku kwamba uchumi unakuwa, ila kiuhalisia chamoto tunakiona
tangu lini mlishawahi kuamini takwimu juu ya uchumi wa nchi? hata enzi za kikwete mlikua mkiambiwa uchumi unakua mnazingua
 
Basi Sherehe zijazo kabla ya Sherehe SMZ itamwita Seif Ikulu ya Zanzibar Kama alivyoitwa Lowassa ili Sherehe zifane

Seif na Watu wake kituko, akishirikishwa kwenye Serikal huwa anayatambua Mapinduzi Matukufu ya 1964 wakimtema anatambua Utawala wa Sultan jamsheed kupitia Kibaraka wake Mohamed Shamte
Maneno iko hapa....em funguka zaidi mkuu.
 
Kigezo gani kimekufanya utoe kauli ya kudoda?
Tatizo mnapenda kulazimisha mambo yafeli,ili kufurahisha mioyo yenu,wewe haupo zanzibar,watu juzi wamekesha na fataki zimepigwa,Babu seya,dogo janja na wasanii wengi tu wamepiga shoo
Magufuli,kikwete,mkapa na mwinyi wamehudhuria gwaride,ulitaka Mbowe na sefu wawepo ujue kwamba sherehe zimefana?
Hivi Babu Seya alitumbuiza kama Mateka au kama msanii ?
 
Back
Top Bottom