hyperbolic
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 459
- 525
Uchumi mbovu, watu wanasaka riziki mtaani, hawana mzuka tena na sherehe, maana ni porojo zile zile za miaka yote
Tunakushukuru kwa kuutambua ukubwa wa Jabali Maalim SeifBasi Sherehe zijazo kabla ya Sherehe SMZ itamwita Seif Ikulu ya Zanzibar Kama alivyoitwa Lowassa ili Sherehe zifane
Seif na Watu wake kituko, akishirikishwa kwenye Serikal huwa anayatambua Mapinduzi Matukufu ya 1964 wakimtema anatambua Utawala wa Sultan jamsheed kupitia Kibaraka wake Mohamed Shamte
Mbona Balozi Seif Idd anasema Zanzibar inaongoza kwa uchumi imara Afrika ?Uchumi mbovu, watu wanasaka riziki mtaani, hawana mzuka tena na sherehe, maana ni porojo zile zile za miaka yote
Tunakushukuru kwa kuutambua ukubwa wa Jabali Maalim Seif
Huu ndio ukweli ulio wazi ambao wengi wameunyamazia .
Kiukweli si Zanzibar kwenyewe wala Tanganyika , si mitandaoni wala pengine popote , Sherehe za Mwaka huu za Mapinduzi matukufu ya Zanzibar zimedoda
Chanzo cha mdororo huu ni nini , na Je kama Taifa tunaelekea wapi ?
" Machotara Hizbu , Zanzibar ni nchi ya waafrika "Taifa haliko pamoja tena kama nchi, kwa hizo sherehe zimebaki kuwa za wale kijani na ukiangalia kijani wako asilimia ngapi ya Watanzania?!
Uchumi wa kwenye karatasi mkuu, hata ngosha huwa anatuaminisha hivyo kila siku kwamba uchumi unakuwa, ila kiuhalisia chamoto tunakionaMbona Balozi Seif Idd anasema Zanzibar inaongoza kwa uchumi imara Afrika ?
Huu ndio ukweli ulio wazi ambao wengi wameunyamazia .
Kiukweli si Zanzibar kwenyewe wala Tanganyika , si mitandaoni wala pengine popote , Sherehe za Mwaka huu za Mapinduzi matukufu ya Zanzibar zimedoda
Chanzo cha mdororo huu ni nini , na Je kama Taifa tunaelekea wapi ?
Maana yake ni kwamba usilete fyokofyoko .Ni lini hizi sherehe huwa nzuri,Wanatuonyesha bnduki na mizinga kila siku,mimi zote huwa zinaniboa na mpaka leo maonyesho ya siraha kwenye sherehe hizi zote za kitaifa za chini mwetu huwa sielewi maana yake
Kumbe ukinywa maji ya baharini...pilipili inaacha kuwasha.Kwani Kigamboni na unguja kuna umbali gani ?
Nimeshangaa kuona wananchi wanaingiabwakwabna nguo za kijani, na mbaya zaidi nimeona ule msururu upande wa vips wanaingia na nguo za kijani, nikajiuliza hizi nibsherehe za chama au za wananchi wote kwa pa1Taifa haliko pamoja tena kama nchi, kwa hizo sherehe zimebaki kuwa za wale kijani na ukiangalia kijani wako asilimia ngapi ya Watanzania?!
Huo ndio ukweli ingawa kwako itakuwa vigumu kuelewa. Baada ya saa 5 asubui taratibu za Ijumaa zinashika hatamu uwe CCM au CUF.Mbavu zangu !
Wewe mnyakusa na Zanzibar wapi na wapi! Pambana na hali yako kwanzaHakuna shangwe wala pilikapilika ! Sherehe katikati ya njaa inawezekanaje ?
Sherehe hizi mkuu zilishapoteza maana na hadhi yake baada ya kuhodhiwa na hawa ccm, ndio maana mtu asiye na vinasaba vya kijani ni ngumu sana kushirikiNimeshangaa kuona wananchi wanaingiabwakwabna nguo za kijani, na mbaya zaidi nimeona ule msururu upande wa vips wanaingia na nguo za kijani, nikajiuliza hizi nibsherehe za chama au za wananchi wote kwa pa1
Acha ubaguzi mkuu , nchi yetu ni mojaWewe mnyakusa na Zanzibar wapi na wapi! Pambana na hali yako kwanza
Huu ndio ukweli ulio wazi ambao wengi wameunyamazia .
Kiukweli si Zanzibar kwenyewe wala Tanganyika , si mitandaoni wala pengine popote , Sherehe za Mwaka huu za Mapinduzi matukufu ya Zanzibar zimedoda
Chanzo cha mdororo huu ni nini , na Je kama Taifa tunaelekea wapi ?
Umenikumbusha ibada ya Krismas kitaifa last year iliyofanyika Zanzibar, ilifana sana!Huo ndio ukweli ingawa kwako itakuwa vigumu kuelewa. Baada ya saa 5 asubui taratibu za Ijumaa zinashika hatamu uwe CCM au CUF.
Hapana Bwana