Sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar zadorora

Ni lini hizi sherehe huwa nzuri,Wanatuonyesha bnduki na mizinga kila siku,mimi zote huwa zinaniboa na mpaka leo maonyesho ya siraha kwenye sherehe hizi zote za kitaifa za chini mwetu huwa sielewi maana yake
kwa sisi wapenda paredi hatuchoki kuangalia,bahati mbaya miaka hii haifanyiki Dsm kwa ile ya uhuru.
Kuna pendeza kuangalia utayari wa vikosi vyetu sio kodi yetu inaenda kuwatajirisha tu.
Mwana ni haki yako kutathmin hayo.
 
Huu ndio ukweli ulio wazi ambao wengi wameunyamazia .

Kiukweli si Zanzibar kwenyewe wala Tanganyika , si mitandaoni wala pengine popote , Sherehe za Mwaka huu za Mapinduzi matukufu ya Zanzibar zimedoda

Chanzo cha mdororo huu ni nini , na Je kama Taifa tunaelekea wapi ?

Mkuu kama umejaribu kuangalia hakuna hamasa kwani hizo sherehe kwa sasa zimekuwa ni kama za ccm tu. Kuna watu wamezira kiasi kwamba hata hao wanaotaka kutamba hawaoni wa kumtambia kwani watu wamewapotezea. Halafu alichokuwa anaongea Dr. Shein kwenye hotuba yake hata hakieleweki maana yeye mwenyewe hana mvuto wa kumsikiliza. Kwa aina yake ile ya uongeaji haitimii hamasa kumsikiliza.
 
Huu ndio ukweli ulio wazi ambao wengi wameunyamazia .

Kiukweli si Zanzibar kwenyewe wala Tanganyika , si mitandaoni wala pengine popote , Sherehe za Mwaka huu za Mapinduzi matukufu ya Zanzibar zimedoda

Chanzo cha mdororo huu ni nini , na Je kama Taifa tunaelekea wapi ?

Chanzo ni ukosefu wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) ambayo October, 2015 wananchi wa ZNZ waliamua iongozwe na Maalim Seif akisaidiwa na Shein. Maamuzi hayo yalipinduliwa na kundi la watu wachache walafi.
 
Wewwee ! Wasema ! Kwa sisi wazanzibar yetu yanaenda atunashida sheikh sasa hivi tunataka tumuongezeee muda !! Khaaaa teh kwi kwi hadi rahaaaaaaaaaaa
 
Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu sana, taifa limegawanyika kabisa.
 
Huu ndio ukweli ulio wazi ambao wengi wameunyamazia .

Kiukweli si Zanzibar kwenyewe wala Tanganyika , si mitandaoni wala pengine popote , Sherehe za Mwaka huu za Mapinduzi matukufu ya Zanzibar zimedoda

Chanzo cha mdororo huu ni nini , na Je kama Taifa tunaelekea wapi ?
Ndo mana wenzenu huwa wanaona sio wazalendp
Mbana hatukuwahi ona uzi wa kupongeza hata siku moja katika siku sherehe za mapinduz zilipofana

Yan mna n gubu kama ndg wa mume
Kwa hyo nyie kwenu n kusubir shughul za serikal zifeli tu, ili mponde tu
MNAZINGUA
 
Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu sana, taifa limegawanyika kabisa.
Ile ya wakenya hujaiona? Na hujui kilichotokea, katiba mpya kama haiwezi kusimamiwa kikamilifu ni kazi bure mkuu
 
Huu ndio ukweli ulio wazi ambao wengi wameunyamazia .

Kiukweli si Zanzibar kwenyewe wala Tanganyika , si mitandaoni wala pengine popote , Sherehe za Mwaka huu za Mapinduzi matukufu ya Zanzibar zimedoda

Chanzo cha mdororo huu ni nini , na Je kama Taifa tunaelekea wapi ?
Kigezo gani kimekufanya utoe kauli ya kudoda?
Tatizo mnapenda kulazimisha mambo yafeli,ili kufurahisha mioyo yenu,wewe haupo zanzibar,watu juzi wamekesha na fataki zimepigwa,Babu seya,dogo janja na wasanii wengi tu wamepiga shoo
Magufuli,kikwete,mkapa na mwinyi wamehudhuria gwaride,ulitaka Mbowe na sefu wawepo ujue kwamba sherehe zimefana?
 
Bombadia imedoda[emoji196] [emoji196]
 
Ukishapunguza matumizi unategemea nini? Hela nyingi kutumika kwenye sherehe badala ya kukarabati shule INA tija gani?

Asikuongopee MTU, hata mtaani hili linajulikana. Alika kila Mtu na lipia mavyakula, safari, vinywaji na nk halafu niambie kama sherehe haitokuwa ya kufuru
 
Back
Top Bottom