johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,521
- 142,782
Rais anahutubia muda huu moja kwa moja kutokea Shinyanga karibu Barghash tumsikilize!Ukubwa wa pua sio wingi wa mafua.Huwezi kuifanananisha Zanzibar na Shinyanga, ni matusi makubwa. Hebu andika neno Zanzibar , tena kwa kulikosea kwenye chombo chochte cha IT na neno Shinyanga, Chombo hicho kita sahihisha jina la Zanzibar na Shinyanga litapiga mstari kwenye jina la Shinyanga, kwa vile halijuulikani kabisa duniani.
Hivi uliwahi kusikia kwenye uchaguzi mbulu au Shinyanga kupelekwa majeshi, vifaru na mabazooka.? Hivi hujui Zanzibar pia kuwa kuna uchaguzi tena wa Jimbo sio udiwani au mwenyekiti wa kijiji.
Na hao wanaojikita kuchuna watu ngozi na kuwaua Albino bdala ya kuumiza vichwa kwa mambo ya maendeleo unawaambiaje?
Nadhani iliwahi kutokea wakati wa Karume na Nyerere picha zilikuwa haziendi. Kawawa alimuwakilisha lakini waliwekwa mstari wa mwisho nyuma kwenye jukwaa la uwanja wa Amaan.