Sherehe za Mapinduzi: Fahali wawili hawakai zizi moja

Baraghash

JF-Expert Member
Dec 18, 2012
2,713
1,789
Katika nchi inayo nchi mbili, Katiba mbili na Amiri jeshi wakuu wawili, leo Itifaki imezingatiwa wakati Amiri jeshi mkuu mmoja kukwepa kuwekwa " back bench" na kumwachia mwenye nchi apokee gwaride rasmi, na mizinga 21 ya heshima.
CCM Oyee , Mapinduzi Daima mbele
 
Shinyanga ni mkoa mkubwa kuliko huo wa Zanzibar so wengi wape.Pili imba nyimbo zote upendavyo lakini amiri jeshi mkuu ni mmoja tu naye ni JPM fullstop!
 
MAG HAIPENDI ZANZIBAR ...HUWEZI KUACHA KUHUDHURIA SHEREHE ZA MAPINDUZI ETI UHUTUBIE MKUTANO KWENYE MKOA ....
KUMCHAGUA MUUNGAJI MKONO WA SERIKALI TATU POLE POLE NI UJUMBE TOSHAAAA
KUDHARAU KUHUDHURIA MATUKIO YA ZNZ KAMA MAPINDUZI NA PIA HAKUHUDHURIA KUMBUKUMBU YA KARUME JAPO NAYO ALIKUWA CHATO NA AKACHAGUA KWENDA RWANDA ....NI DALILI NYINGINE
AINA YA HOTUBA ALIYOICHAGUA SIKU ALIPOENDA ZNZ NI MSUMARI MWINGINE HAUKUA YA MARIDHIANO
 
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka kwa rais alipeapa kuulinda muungano kwa nguvu zote na akili zake zote anapoacha kuhudhulia sherehe za muungano za mapinduz zanzibar na kukimbilia usukuman kwao shinyanga huo ni usaliti mkubwa sana ambayo rais kauonesha kila mwenye akili timamu najua atakemea kwa nguvu hii dalili ya kuvunja muungano au magufuli kaamua kufuata sera za ukawa
 
Katika nchi inayo nchi mbili, Katiba mbili na Amiri jeshi wakuu wawili, leo Itifaki imezingatiwa wakati Amiri jeshi mkuu mmoja kukwepa kuwekwa " back bench" na kumwachia mwenye nchi apokee gwaride rasmi, na mizinga 21 ya heshima.
CCM Oyee , Mapinduzi Daima mbele
Badala ya kuumiza vichwa kwa mambo ya maendeleo nyie mnaumiza vichwa kwa mambo yasiyo namaana ya hadhi, ukuu (supremacy) na udogo, Teh! Teh! Teh!.
 
MAG HAIPENDI ZANZIBAR ...HUWEZI KUACHA KUHUDHURIA SHEREHE ZA MAPINDUZI ETI UHUTUBIE MKUTANO KWENYE MKOA ....
KUMCHAGUA MUUNGAJI MKONO WA SERIKALI TATU POLE POLE NI UJUMBE TOSHAAAA
KUDHARAU KUHUDHURIA MATUKIO YA ZNZ KAMA MAPINDUZI NA PIA HAKUHUDHURIA KUMBUKUMBU YA KARUME JAPO NAYO ALIKUWA CHATO NA AKACHAGUA KWENDA RWANDA ....NI DALILI NYINGINE
AINA YA HOTUBA ALIYOICHAGUA SIKU ALIPOENDA ZNZ NI MSUMARI MWINGINE HAUKUA YA MARIDHIANO
Kwenye siasa za uchaguzi Shinyanga ni muhimu kuliko Zanzibar.Na hata kwenye kutekeleza ilani ya chama hata wewe ungeanza na mbulu badala ya zenji
 
Ni vigumu sana kujua kiundani kwa nini hakuhudhuria na hii lazima iache maswali lakini moyoni anajua mtu mmoja tu ambaye alipaswa kwenda lakini akaenda kwingine hapahapa nchini! si kwa mgonjwa, janga au kitu cha namna hiyo
 
Katika nchi inayo nchi mbili, Katiba mbili na Amiri jeshi wakuu wawili, leo Itifaki imezingatiwa wakati Amiri jeshi mkuu mmoja kukwepa kuwekwa " back bench" na kumwachia mwenye nchi apokee gwaride rasmi, na mizinga 21 ya heshima.
CCM Oyee , Mapinduzi Daima mbele
Kama ndio imani yako kwamba tuna amiri jeshi wawili, basi mwambie huyo mwingine aamrishe majeshi yakaitwange Malawi tuone kama yatatii amri yake.
 
Kwenye siasa za uchaguzi Shinyanga ni muhimu kuliko Zanzibar.Na hata kwenye kutekeleza ilani ya chama hata wewe ungeanza na mbulu badala ya zenji
ACHA HIZO ...hao marais wote waliopita hawajawahi kukosa hizi sherehe labda kama kabisa inajulikana wagonjwa ....huyu mfululizo kakosa mapinduzi na kakosa kumbukumbu za kifo cha karume ..
Tukumbuke tumeungana na nchi huru kwa hiyo kusema una consolidate support base mikoa ya kanda ya ziwa ...ni muhimu kuliko shughuli ya siku moja ..sio sawa ...angeweza kuita PRESIDENTIAL HELICOPTER ambayo sasa tunazo ...imrushe toka Chato hadi zanzibar hapo asubuhi alfajiri ya leo .......na mchana baada ya sherehe za mapinduzi akaruka na kutua shinyanga kuendelea na mkutanooo na hata push up apigeee
 
MAG HAIPENDI ZANZIBAR ...HUWEZI KUACHA KUHUDHURIA SHEREHE ZA MAPINDUZI ETI UHUTUBIE MKUTANO KWENYE MKOA ....
KUMCHAGUA MUUNGAJI MKONO WA SERIKALI TATU POLE POLE NI UJUMBE TOSHAAAA
KUDHARAU KUHUDHURIA MATUKIO YA ZNZ KAMA MAPINDUZI NA PIA HAKUHUDHURIA KUMBUKUMBU YA KARUME JAPO NAYO ALIKUWA CHATO NA AKACHAGUA KWENDA RWANDA ....NI DALILI NYINGINE
AINA YA HOTUBA ALIYOICHAGUA SIKU ALIPOENDA ZNZ NI MSUMARI MWINGINE HAUKUA YA MARIDHIANO
Bavicha bana hamkosi LA kusema
 
Back
Top Bottom